Recent content by martin martines

  1. martin martines

    Here is Russia's Response to NATO’s activities near Its borders

    Mwanzo ametoa uchambuzi wake kwa kiswahili hajasema ni direct translation
  2. martin martines

    Kaamua kuninyang'anya vitu vyote alivyonihonga, ni haki?

    Ndugu kishada 4 Hayo maisha ya uvumilivu unayozungumzia ndio yalimshinda mke wangu, nilisimangwa sana, nilikua narudi jioni naulizwa umerudi na hela au umerudi na suruali tu kama ulivyoivaa asubuhi? Sio kila mwanamke anaweza uvumilivu, mtihani huo mke wangu alishaushindwa
  3. martin martines

    Kaamua kuninyang'anya vitu vyote alivyonihonga, ni haki?

    Sijasema nataka kumuacha mke wangu, naangalia the best option out of this crisis Mimi wakati mwingine wanawake nashindwa kuwaelewa huwa mnataka nini hasa, maana wakati sijaanza mahusiano na dada mwingine, mke wangu alikua akinisema vibaya, kwamba hivi tutaendelea kupanga hadi lini? Siku...
  4. martin martines

    Kaamua kuninyang'anya vitu vyote alivyonihonga, ni haki?

    Mama kosa langu ni nini hasa? Nimekuja kwenu kutafuta upatanisho, mkisema hivyo mm nashindwa kuwaelewa
  5. martin martines

    Kaamua kuninyang'anya vitu vyote alivyonihonga, ni haki?

    Hapana mkuu usinielewe vibaya, sikua na maana hiyo
  6. martin martines

    Kaamua kuninyang'anya vitu vyote alivyonihonga, ni haki?

    Habari zenu, Watu wa MUNGU mimi ni mwalimu wa secondary, nina mke ila hatujafanikiwa kupata mtoto, pia nina fanya masters evening session katika field nyingine na sio education, lengo niondoke kwenye area hii ya ufundishaji yenye malipo kidogo. Kwenye hii shule ninayofanyia kazi kuna mtoto wa...
  7. martin martines

    Israel kuiongezea technology f-35

    How Israel Wants To Soup Up Its Fleet Of F-35s Israel has done amazing things with their imported U.S. fighter aircraft, innovating and tailoring their capabilities to meet their unique needs. They want to continue this legacy with the F-35. Part of this initiative now includes the ability to...
  8. martin martines

    Tony Blair asikitishwa na ushindi wa Trump

    Baada ya Kasich kujitoa kwenye mbio za urais na hivyo kuweka mazingira ya Donald Trump kunyakua tiketi ya chama kwenye uchaguzi mkuu, Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza ameonekana kusikitishwa na ushindi huo wa Donarld Trump na kusema upo uwezekano mkubwa wa nchi za magharibi kutengwa kutokana...
  9. martin martines

    Hivi Mwanamke anachokaje Kufanya Mapenzi?

    Vijana mnawaza ngono tu
  10. martin martines

    JWTZ katika ubora wao wa kiwango cha juu huko misitu ya Congo: Watunikiwa Medali

    Mr devcon umesema maneno mazuri, Ingawa hukuipata dhana nzima ya maelezo yangu Muktdha wa maelezo yangu kwa mtoa mada ilitokana na sifa alizozitoa kwa jambo ambalo ni la kawaida kabisa katika masuala ya kijeshi, ni sawa na mtu kujisifu anamiliki panga, watu watamshangaa mtu huyo Kama sifa...
Back
Top Bottom