Kama yupo ataeweza nisaidia kujua namna ya kudownload series all in one package nitafurahi sana, site nyingi ninazoingia series inanibidi nidownload episode 1 moja jambo ambalo linanichosha.
Naomba mwenye kujua site ambayo naweza download mfano prison break zote ziwe kwenye singo torrent...
Kuna series nazitafuta mfano kama Asintado Pusong Ligaw na nyingine nyingine nyingi tu za kifilipino.
Nimezunguka huko kutafuta jinsi ya kuzidownload naona chenga tu sielewi kitu naomba mwenye uzoefu na kujua namna ya kufanya ili niweze fanikisha hili USER=403420]Numbisa[/USER] naomba upite...
Nimeperekenyua kila mahali kujua wanapopelekwa ndugu zetu ki ukweli hadi sasa hivi sijajua wanapelekwa wapi,J ana mtaani nyumba ya jirani wamebebwa nyumba nzima wapangaji zaidi ya 7 na familia zao eti kisa tu hiyo nyumba kapatkana mgonjwa mwenye korona mmoja, kwa wingi wa wale wapangaji...
Mzazi anaweza akakukuta unasikiliza redio akitangaza salama au millard akakuacha,ila akikukuta unamsikiliza LIL OMMY redio itazimwa hapo hapo utaambiwa ondoka kafanye mambo mengine,unaweza nisaidia kuniambia ni kwann redio haikuzimwa wakati nikiwaskiliza millard na salama ila LIL OMMY redio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.