Serikali ikianza kufukua makaburi hakuna msafi sababu hata viongozi wa leo walikuwepo jana na hakuna aliyeonyesha uzalendo kwa kuyaacha madaraka yake kwa maslahi ya nchi.
Kama limemaliza tatizo la folen bas wamefanikisha malengo, swala la pesa kupigwa hata ww ukipewa kandarasi ya kujenga hata nyumba huwez ukatumia pesa zote ulizoomba ktk bajeti.
Tuliaminishwa kuwa tukikataa hiyo fursa ya kujengewa hiyo bandari wachina wangehamia Kenya na kujenga bandari ambayo ilitakiwa ijengwe dsm, tukaaminishwa kuwa serikali ya Kenya wapo tayari kwa huo mradi lakini sijui kama kuna kinachoendelea huko Kenya.
Kabla ya kusaport vitu kwa mihemko na...
Kama tuliaminishwa kuwa hayati Magufuli anabana pesa ila akiondoka madarakani pesa zitamwagika mtaani lkn tunasuhudia sasa hivi hali imekua ngumu zaidi.
Kushabikia ujenzi wa hiyo bandari pasipo kujiridhisha kwa hiyo mikataba ni uzwazwa.
Bandari ya DSM haijashindwa kupokea mizigo bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.