Hakuna sehemu sayansi 'elimu ya mzungu' inayosema mwanadamu alitokana ns sokwe, walimu wenu wa UPE waliwapoteza.
sisi waafrika bongo zetu zina shida ndio maana matatizo yetu yote tumeshindwa kuyatafutia ufumbuzi
sijui kuhusu Tanzania nzima ila nina uwezo wa kukutajia viwanda 200 vilivyoaanza kutengenezwa mkoa wa pwani kati ya mwaka 2016 mpaka 2021.
Ingawa kiuhalisia ni viwanda vya wachina, wahindi na waarabu kwahiyo usituambie viwanda havionekani wakati umekaa gheto kwako unachezea simu
Asamehewe kwa kwa sababu gani!!? ukweli utabaki ukweli tu, kwa sasa malaya wengi wastaafu wanahudhuria sana haya makanisa yanayohubiri miujiza na moja ya target yao ni kama iliyotajwa hapo juu[emoji115]
Mimi miaka 16 nilikuwa kidato cha nne, nilikuwa nina uwezo wa kufua vizuri, kunyoosha nguo, kuweka sawa mazingira yangu ya ndani na ya nje.
Miaka 16 ni dogo ila sio kwa kiasi cha kufikia kushindwa kuzingatia usafi wa mwili wake
iyo bajeti ya Msd ni ya mwaka ivyo kwa hesabu za mwamba hapo ni 128B×12=1.5T ambayo ni mara mbili ya bajeti ya msd.
Ni kweli mambo sio marahisi kihivyo kama walipo kodi tu kwenye nchi hii hawazidi hata milioni 20
Wanafalsafa wakubwa kama Imanuel kant, Wittgenstein wanaheshimika kwa kuibadilisha dunia ila hawajawahi kuoa
wanasayansi wakubwa kama Isaac Newton, Nikola Tesla etc wameibadirisha dunia ila hawajawahi kuoa
wanasanaa kama leonardo Da'vinci nao pia ni hivyo hivyo
Anguko la mtu yeyote linaanzia...
Mapori hayajaisha ila kibaha na bunju huko ni nje ya mji population ya kata ya mbagala tu huwezi kuifananisha na hizo wilaya za pwani
Drainage system ya kilwa road!!?? au unamaanisha drainage system ya temeke?
mitaro ya kilwa road na mandela road inapeleka maji baharini, sijui wewe unadoubt nini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.