Recent content by marserino

  1. marserino

    Elimu hii muhimu sana hukufundishwa shuleni, ipate hapa

    Hiyo pesa ni rahisi kuitaja pia ni ngumu kuitoa. Ukizungumzia ghalama naona unakosea kwa sababu duniani hapa Everything has price na hiyo ndo kanuni. Hiyo pesa amelenga sana watu wenye uwezo mkubwa na hakujali watu wa chini. Ni ngumu sana kutoa 100k kwenda kununua maneno ya masaa 8. Wakati...
  2. marserino

    Elimu hii muhimu sana hukufundishwa shuleni, ipate hapa

    Vita vya panga,haviingiliwi na fimbo. Ilata mda elimu ya fedha umeongea point sana nikupe pongezi. Ila umekuja kualibu kitu kimoja tu ambacho wananchi wenye hasira Kali hawataki. Kiwango Cha pesa ulichosema kwenye semina yako ni kikubwa sana na si Kila mmoja wetu anaweza kuwa nayo...
  3. marserino

    SIMULIZI: Nilipata nafasi ya kuongea na Gurus wawili wenye mitizamo miwili tofauti kuhusu Kuzaliwa, Kifo na uwepo wa Mungu pamoja na Dini

    Nishati ya nguvu ya ardhi na mbingu ndo unamaanisha au unampango wa kuzungumzia Universal law of world...
  4. marserino

    Pale binti anapoyachezea maisha na kuja kujuta mwishoni

    Kiukweli hii tabia yao iliniumiza sana demu nayempenda alinipotezea alilinganisha kipato changu na washkaji wengni mwisho wa siku akasepa. Nilipambana sana kutafuta pesa yaani nikiamini mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyew mpaka sasa imepita miaka zaidi ya Saba juhudi hazijawai kumtupa mtu...
  5. marserino

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Dogo Malaika waliopew adhabu na kutupwa duniani baada ya kumwasi mwenyezi mungu walikuwa na tofauti gani na hao wengine...?
  6. marserino

    Sheria za Ulimwengu hazijui ujinga wala umaskini wako, jipe bidii ili uwe na furaha

    Watu wengi hawapendi kujifunza kwenye asili za Siri za ulimwengu huu kwani Toka wanakuwa wanaanza kulishwa uwongo kwenye akili zao na kupitia huo uwongo unaenda kutengeneza Imani ndani mwao. Kwa mtu mwenye mindset ndogo sana ya akili atafikilia unakufulu. Ila wajanja wa philosophy za kale...
  7. marserino

    Sanduku la Agano liko wapi?

    Sanduku la agano inasemekana lipo pale Maka chini ya ardhi yake ndipo lilipohifadhiwa tangu kizazi na kizazi. Ndo maana mahala pale ni patakatifu hadi Kesho
  8. marserino

    Je, ni kisa gani cha kweli lakini cha kuogopesha na kusisimua ulichowahi kusimuliwa na mwanamke? Ulijifunza nini kutokana na kisa hicho?

    Sawa na vipi ulipowasikiliza ulifanya kipi Cha kuwasaidia..? Mimi sioni Kuna maana yeyote ya kujaza medula oblangata kumbukumbu ya matukio ya watu waliyopitia kwenye maisha. Hiyo ni nonsense Tafuta sana pesa broo ili achana na hivyo vitu ni umbea maana hawajakuluhusu kusema mbele za watu
  9. marserino

    Je, ni kisa gani cha kweli lakini cha kuogopesha na kusisimua ulichowahi kusimuliwa na mwanamke? Ulijifunza nini kutokana na kisa hicho?

    Sawa ila nikushauri tu kwamba usipende kusikilizq matatizo ya watu kwenye maisha wakati wew unayo ya kwako na hakuna wa kutatua
  10. marserino

    Wakuu hivi kuna msanii anemzidi kipaji Rod Wave

    Basi hujui mziki kijana kama unashindwa kumkubali huyu mwamba mwenye rekodi ya kupata gramy 12 usiku mmoja tu
  11. marserino

    Wakuu hivi kuna msanii anemzidi kipaji Rod Wave

    Msikilize kwanza Kendrick Lamar mshkaji ni msaniii Bora wa mda wote alafu ndo uje ufananishe na huyo dogo Wave
  12. marserino

    Je, ni kisa gani cha kweli lakini cha kuogopesha na kusisimua ulichowahi kusimuliwa na mwanamke? Ulijifunza nini kutokana na kisa hicho?

    Hi Unayo degree ya miaka mingapi ya Bachelor maana naona upo single mpaka sasa nyeto ndo zinakufaliji kijana... Ukisikiliza udaku kama huu kwa wanawake utakuja kuota maziwa maana hivyo viumbe ni waongo kupitiliza maisha yao ni bongo movie.
  13. marserino

    Mtuhumiwa wa Ubakaji amwambia Mwandishi wa Habari “Afu we Camera man nikimaliza kesi ntakutafuta”

    Hii kesi ya ubakaji na ulawiti naona Nyundo katrendi sana kwenye vyombo vingi vya habari...
  14. marserino

    Tupeane codes mbalimbali za maisha

    Hahahahaha mshkaji anawapa code za maisha ila wabongo mnaamini sana kwenye Imani za kishilikina mfano.. jumvi ya mawe na pilipili kichaaa.
  15. marserino

    Elimu ya darasani sio ufunguo wa mafanikio. (Njia ya mafanikio hii hapa)

    Mafanikio kama mafanikio yana maana zaidi ya elfu Moja na Moja. Pambania kile unachokiamini bila kuchoka wala kukata tamaaaa.
Back
Top Bottom