Recent content by marryan

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi TCRA mnawaogopa Star TV?

    Hivi ccm na ukawavwapi wasio soma? Ndiyo maana kaambiwa elimu, elimu, elimu, Kwa sababu mbowe ukimwamia alete chti cha form six ni afadhari kitafuta bikra wodi ya wazazi mhimbili. Mnyika ukimwambia akupe transcript ni sawa na asia kuhamia mbagala Sasa wapi wasio kuwa na elimu
  2. M

    JamiiForums Tanzania 'Inadaiwa' Gari la kura fake lakamatwa Njombe ikielekea Mtwara

    BREAKING NEWS ALIYESAMBAZA PICHA ZA NGUO KWA KUDAI NI KURA zilizo pigwa huko Njombe akamatwa kwa kudanganya na kupotosha umma. Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe amekanusha kutokea kwa tukio hilo Mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA imemtia mbaroni Bwana Kessy Joseph wa mbagala kizuiani kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Kingunge, Kinje amtaka baba yake aache kutumiwa

    Huyu aliye post ni mpuuzi na moderators ondoeni huu upuuzi wa kutaka kupotosha umma
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Kingunge, Kinje amtaka baba yake aache kutumiwa

    Acha propaganda, aliyeongea ni kinjekitile msitake kuposha umma
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

    Aende tuu kwa sababu hana madhara yoyote na hata zuia kukua kwa chama cha mapinduzi nchini
  6. M

    JamiiForums Tanzania Historia inayoumiza.!

    Hakika ww malisa umekaa kichonganishi sana Hayo umeeda kyafufua iliiweje?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mtikila ataka iundwe Tume kuchunguza kifo cha mumewe, Lowassa, Sumaye na Mnyarwanda watajwa

    Wafanye hivyo maanake kifo kile kina utata na inawezekana wakubwa waliokuwa wanamwida ndiyo wamemaliza kazi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi TCRA mnawaogopa Star TV?

    Hujaeleweka ww
  9. M

    JamiiForums Tanzania KURA YA DR SLAA Yamdondokea MAGUFULI

    Magufuli ndiye rais hapana shaka
  10. M

    JamiiForums Tanzania KURA YA DR SLAA Yamdondokea MAGUFULI

    Eeeeyu ameanza kuamuru tena kana kwamba anaamuru mashetani
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jela kwa kumtusi Kikwete na Ridhiwani

    Udhalilishaji haufai na kwa huyu haupaswa utumia lugha chafu kama hizo, kwanini tunakuwa na watu wa aina hii katika jami yetu??
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

    Chizi mwizi kweli nakila mtu hilo analijua bila kupapasa wala kuoopa yule fundi na anaogopeka Hapo kwa chizi juiana kaongea kweli
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

    Mama na yeye ajifunze kutokunywa hvyo hovyo kwa sababu the way unavyojiheshimundivyo unavyo heshimiwa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    Mahitaji ya kitu hutokana na muda halisi Sasa hivi ndiyo kila mtu anapswa awe huru kujua hayo
  15. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    Hapa kazi tuuuuuu Wazembe na wavivu wa kufikiri ndiyo wanataka mabadiliko ya kutokufanya kazi
Back
Top Bottom