Recent content by Marry Mdaki

  1. Marry Mdaki

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuimarisha mahojiano ya ajira kwa vijana: Chachu ya maendeleo ya Taifa

    Kweli kabisa umenena vema watu tuna hustle sana mtaani huku aani we acha tu.
  2. Marry Mdaki

    JamiiForums Tanzania Leo nimeamini!

    Msamehe bure tu
  3. Marry Mdaki

    JamiiForums Tanzania Leo nimeamini!

    😂😂😂😂Am sorry mkuu
  4. Marry Mdaki

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli?

    K Kweli kabisaaa
  5. Marry Mdaki

    JamiiForums Tanzania Leo nimeamini!

    Ambaye ninadumu nae
  6. Marry Mdaki

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

    Hakika maandiko yametimia........ Mungu azinusuru roho za marehemu
  7. Marry Mdaki

    JamiiForums Tanzania Leo nimeamini!

    Maisha haya yamenifunza jambo moja hakika mtu unaempenda na mtu utakayedumu nae_kwa asilimia kubwa huwa ni watu wawili tofauti.
  8. Marry Mdaki

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli?

    Nimeshtushwa na chapisho linaloonesha orodha ya nchi zisizokuwa na furaha duniani. Nilishangaa zaidi kuiona nchi yetu, lakini nilipigwa na butwaa zaidi baada ya kutoona nchi kama Sudan, Somalia, Congo, Ukraine, Urusi. Labda ningependa kuuliza kuwa ni vigezo vipi vimetumika kupata orodha hiyo...
  9. Marry Mdaki

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wananchi wapo tayari endapo tu wataelimishwa na kupewa mrejesho thabiti kutoka kwa mamlaka husika

    Karibuni ndugu zangu tuendeleze gurudumu
  10. Marry Mdaki

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wananchi wapo tayari endapo tu wataelimishwa na kupewa mrejesho thabiti kutoka kwa mamlaka husika

    Wa Hifadhi tu, lengo kuiendeleza nchi yetuu
  11. Marry Mdaki

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wananchi wapo tayari endapo tu wataelimishwa na kupewa mrejesho thabiti kutoka kwa mamlaka husika

    ASante kwa kutambua jarida langu, tuendelee na mjadala
Back
Top Bottom