Recent content by Maroune

  1. M

    phone storage space is getting low

    www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/486540-galaxy-mini-phone-storage-is-getting-low.html
  2. M

    phone storage space is getting low

    mkuu hii ktu imejadiliwa juzi tu hapa hapa.... . kukusaidia cheki chini hapo nimekuwekea link
  3. M

    Ebay

    njia nyepesi ya kukwepa kodi ni kuwa mzigo ukifika usikwende kuuchukua achana nao. hapo hautolipa kodi mkuu. kumbuka nchi hujengwa na mwananchi. lipa kodi kwa maendeleo ya nchi
  4. M

    Uvinza: Makubaliano kati ya NCCR Mageuzi na CHADEMA kuunda Halmashauri yatibuka!

    nafikiri hapa kuna ulipaji kisasi wa kwa nini chadema hawakushirikisha vyama vingne kuunda kambi ya upinzani bungeni. nccr kidemokrasia wako sahihi kabsa.
  5. M

    Msaada: Jinsi ya kuhack facebook account kirahisi

    njia rahisi zaidi mkuu ni kumuombabtu password yake.......atakupa tu
  6. M

    Internet ya vodacom ni balaaaaaa

    hah ha hahaha lol
  7. M

    Anayehitaji line za tigo pesa

    jamani kwa anayehitaji line za tigo pesa naomba aniPM. Bei ni nafuu
  8. M

    msaada wa kuagiza gari

    poa ahsante mkuu
  9. M

    msaada wa kuagiza gari

    nashukuru mkuu, kwa gari kama gx 100, kusafirisha, bima na kuitoa bandarini itagharimu kiasi gani?
  10. M

    msaada wa kuagiza gari

    wandugu nikinunua gari ya mwaka 2005 toka japan kwa dola 3000, ntaisafirisha kwa gharama gani na gharama za kuitoa je mpaka inifikie zitafika kiasi gani? naombeni msaada
  11. M

    Asali asali asali

    si ya kuchemshwa, ni ya tabora mkuu na nyngne ni ya bukoba, vpmo ni kuanzia nusu lita na lita moja, bei ni elfu tano kwa elfu kumi
  12. M

    Asali asali asali

    vyote ndugu jumla na rejareja
  13. M

    Asali asali asali

    nyuki wakubwa ndugu, vpmo lita 1 ni 10,000 na nusu lita ni 5000
  14. M

    Asali asali asali

    nyuki wakubwa ndugu
  15. M

    Asali asali asali

    ASALI ni dawa nzuri sana jamani, nauza asali nzuri na kwa bei nafuu, kwa yeyote anayehitaji naomba tuwasiliane wandugu
Back
Top Bottom