msaada wa kuagiza gari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa kuagiza gari

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Maroune, Jul 18, 2012.

 1. M

  Maroune Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wandugu nikinunua gari ya mwaka 2005 toka japan kwa dola 3000, ntaisafirisha kwa gharama gani na gharama za kuitoa je mpaka inifikie zitafika kiasi gani? naombeni msaada
   
 2. Invoice

  Invoice Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 15
  ni gari gani??
   
 3. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  kaka tafuta gari ambalo halina zaidi ya miaka kumi,,kwa hilo ushuru ni mkubwa sana
   
 4. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  gharama za usafirishaji gari inategemea na size ya gari na aina ya usafiri,pamoja na wapi umenunulia hilo gari.mfano Kusafirisha kwa meli RO-RO gari dogo inaweza kuwa dola 850-1000,na gari saizi ya kati dola 1100-1200,na gari kama noah n.k dola 1350 na kuendelea.hizi ni gharama za kutokea .pia ni vema ukalipia na bima.mfano hai kusafirisha noah kutoka KOBE japan last week dola 1350,kusafirisha ipsum dola 1200.
   
 5. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  mbele ya red hapo ongeza neno JAPAN,nilisahau kuliandika
   
 6. M

  Maroune Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashukuru mkuu, kwa gari kama gx 100, kusafirisha, bima na kuitoa bandarini itagharimu kiasi gani?
   
 7. M

  Maroune Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poa ahsante mkuu
   
Loading...