Recent content by marongota

  1. marongota

    JamiiForums Usiku wa manane

    Mwisho wa chama changu ccm hauna afya Gwajima in voice
  2. marongota

    Evarist Chahali apuuzwe kwa kumsingizia Yericko kuwa shahidi wa siri kwenye kesi ya Lissu

    Mbona kama Yericko Nyerere amepaniki huyu jamaa nimeanza kumkataa tangu makengeze atolewe wenyekit amekuwa kigeu geu sana pia naona kigogo nae kamtaja kuwa shahid huende mzandiki Yericko Nyerere alikuwa anatutafuna ndan kwa ndan
  3. marongota

    Binti ameugua ugonjwa ambao umeshindwa kutambulika

    Mkuu nina jambo la kuku uliza naomba nije dm
  4. marongota

    Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama mbinguni

    Iv kuna siku watanzania tutabadilika na kujua haki zetu na kuzitetea
  5. marongota

    Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto

    Kimsingi wanaume sio waongeaji sana na mwisho huwa hawasemi yote ya moyon ndo maaana mara nyingi rungu linawashukia ila ki ukweli wanawake ni changamoto anaeza ropoka mtoto sio wako na bado akawa anadai matumiz ya mtoto pia wengi hutumia watoto kama fimbo
  6. marongota

    PreGE2025 Kwanini tumefika hapa na kwanini kuna giza mbele ya Taifa la Tanzania

    Cod ngumu sana hii nimejikuta nachek kwa saut
  7. marongota

    Hatua kwa hatua namna wahuni walivyobadili njia za Rais Samia kutoka kuwa shujaa Hadi haya yanayoendele bila yeye Kujua anavyoingizwa chaka

    Hizi ndo nondo ambazo zilikuwa adim kwenye hili jukwaa umeitendea haki jf mkuu
  8. marongota

    GEITA: Mwalimu Shule ya Msingi Waja ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumuingilia kinyume Mwanafunzi wake mwenye umri wa Miaka 7

    Haya mambo si ya kushabikia sana kwa kuwa hamna anaejua ukweli inakuwaje kama hapa kwenye jukwaa tunahukumu jambo la kutengeneza?nan anajua historia ya babu sea je wangap walihukumu je ni wangap walipojua ukweli walitubu
  9. marongota

    Rekodi mpya Tanganyika baada ya miaka 62

    Hii code sijailewa mkuu sijui ni madungu yashakaa kichwan
  10. marongota

    Anguko la kihistoria limekaribia

    Giza likizid ndo kunakaribia kucha
  11. marongota

    Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

    Uzi unapanda sana huu mkuu na Hamna naekupinga we utakuwa una kitu
Back
Top Bottom