Recent content by Marluck

  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Naomba ufafanuzi kuhusu maombi yangu ya mkopo wa elimu ya juu (HESLB)

    Samahani kwani Majibu ya mkopo yanatoka lini
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rehma na amani ziwafikie Muhammad na Yesu Kristo

    Kuhusu nana alisemea tumtakie rehma mtume Muhammad (s.a.w) ni Mungu mwenyewe ktk kitabu tukufu amesema Hakika ya allah na malaika wake walimtakia rehma mtume muhammad, na baada ya hapa akawataka walioamini tumtakie rehma na amani mtume Muhammad. Suala kumtakia rehma na amani ni jambo adhimu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kifantasia: Solo king: ancient legacy

    Dah kwahiyo ile ratiba ndo basi tena hauifatilii, ok yote kwa yote hupo vizuri
  4. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Mr singano lini tena sisi ambao tunasubiri jf
  5. M

    JamiiForums Tanzania Binafsi sina namba ya NIDA

    Mimi ninashida ya kubadilisha majina unaweza kunisaidia unipe na namba zako
  6. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Mkuu j3 ndio leo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Thanks Mr Singano
  8. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Singano Jr the great umeishia patamu thank you
  9. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Kumekucha, nadhani itakua ni usiku
  10. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Mkuu lini tena
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

    Shetani sio malaika ni miongoni mwa majini aliyoumba Mwenyezi Mungu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Leo ndio Ijumaa Mr Hades
  13. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Ahsante sana mkuu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Thanks
  15. M

    JamiiForums Tanzania Magumu ninayoyapitia sasa katika maisha yangu sijui mwisho wake itakuaje

    Wakati nasoma alichokiandika nikaona Kama ni Mimi niliyeandika kwa asilimia kubwa tunapitia hali moja kiasi kwamba hata ndugu zangu huwa nawaogopa kukaa nao karibu tumetofautiana kwenye suala la kua na nafsi nyingine sometimes huwa naichukia hii hali lakin sijui hata nasolve vipi hili tatizo langu
Back
Top Bottom