Recent content by Marko Polo

  1. Marko Polo

    JamiiForums Tanzania FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

    N kwel kabsa yan wanacheza kama hawana uchungu na timu
  2. Marko Polo

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Sawa mkuu. Ni mtandao gan hii?
  3. Marko Polo

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mkuu ndyo inakuaje hii?
  4. Marko Polo

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mkuu jarbu kwenye smu zenye android 13 naona ndyo inakubali me nmejarbu kwenye smu 3 zenye android 13 zmekubali zote ila kwa namba za simu tofauti
  5. Marko Polo

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Imenkubalia asee
  6. Marko Polo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Amna mkuu kuna nafasi nimeomba sas scale yake ya mshahara ni hyo
  7. Marko Polo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wakuu msaada kidogo. Salary scale ya PTSS 7 ni kiasi gani?
  8. Marko Polo

    JamiiForums Tanzania Siri imefichuka, hatimaye Admin wa CAF amejulikana kutokana na utoto wa Ahmed Ally

    Huyu jamaa kakurupuka hachunguzi vitu kwa undani
  9. Marko Polo

    JamiiForums Tanzania Kocha Nabi wa Yanga SC ni kama Kocha wa Simba SC naye anasubiri ruhusa (Approval) ya CAF

    Mkuu hiyo lesen au vyet siyo kama cheti cha o level au chuo. Unatakiwa ukfanyie update kila baada ya mda fulan kwa kusoma kozi maalumu siyo kisa una cheti ndiyo basi imeisha. Hapana. Ukiwa haujaupdate bado tu utazuiw kukaa kwenye benchi
  10. Marko Polo

    JamiiForums Tanzania Mgunda mpaka sasa anakuwa Kocha Mkuu wa timu mbili kwa wakati mmoja

    Mkuu kwan ulisikia wapi kuwa atakaa mpaka hiyo siku wakikutana coast na simba. Hiyo ni dharura tu na inawezekana hata wiki mbili zisifike simba wakapata kocha na mgunda atarudi kwao coast kama kawaida. Kwa mfano leo nabi akachukuliwa na simba na simba akaja kukutana na yanga kutuakuwa na shida...
  11. Marko Polo

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa mchongo wameanza kuwatetea waamuzi

    Hapo nakuunga mkono mkuu hao jamaa hawapepesi macho ila hao wengine ni ujinga
  12. Marko Polo

    JamiiForums Tanzania TFF mnachokitafuta soon mtakipata

    Mkuu nikurekebishe kidogo hapo. Sheria ya wachezaji wa kigeni ni 12 na yanga ilishapeleka majina TFF na wachezaji wakapewa lessen ambazo ndyo zinapelekwa CAF na wakapeleka. Inshu inakuja ameshajiliwa kisinda dakika za mwsho na YANGA wakaomba litolewe jina la kambole liwekwe jina la kisinda na...
  13. Marko Polo

    JamiiForums Tanzania Draw ya Klabu Bingwa Afrika: Yanga yapangiwa kucheza na Zalan ya South Sudan; Simba kucheza na Nyasa Big Bullets ya Malawi

    Majina yote hayo mkuu ya timu hiyohyo moja. Yasikuchanganye ni kama tu chelsea uiite the blues
  14. Marko Polo

    JamiiForums Tanzania CAF yathibitisha simba kuanza hatua ya awali klabu bingwa

    Labda inaweza ikawa wameangalia heruf ya mwanzo maan hata kweny list yao ile ya viwango tp mazemb yupo namba 7 na zamalek namba 8 japo point saw
  15. Marko Polo

    JamiiForums Tanzania CAF yathibitisha simba kuanza hatua ya awali klabu bingwa

    Hapo inshu ilivyo inategemea na tmu zilizoshiriki kwa msimu huo. Kama msimu huu timu zipo 58. Wametoa tmu 6 zitakakazoanza hatua ya pili na zinabaki timu 52 zitakazoanza hatua ya awali. baada ya mchujo huo wa awali zitabaki timu 26 ambazo zitaungana na zile timu 6 jumla zitakuwa timu 32 na...
Back
Top Bottom