Recent content by Markberry1555

  1. Markberry1555

    Zanzibar 2020 Tatu bora urais Zanzibar kujulikana leo

    Narudia kuwaambia tena mtapiga lamli bubu hapa mpaka mchanganyikiwe..... Kama mtaendelea kufuta threads za makada.... Na kuacha za Wapingaji hovyo.... Basi mambo nyeti kujua mtabidi msubili.... Ona sasa mnavyosumbuka.... Majina yameshajulikana ila sasa.... Nani awaambie wakati mnafuta nyuzi?
  2. Markberry1555

    Zanzibar 2020 Tatu bora urais Zanzibar kujulikana leo

    Na ww ni moderator?... Tuambie kwamba hilo jukwaaa ni la threads za chadema tu... Za kupingapinga kila kitu hovyohovyo tuaelewana... Sio jukwaa lenye mawazo huru.. Hapo tutelewa.... Sio threads za chadema ndio zinaexist but za chama tawala zinafutwa kwa kasi.... Ulishaona wapi mtu akahariri...
  3. Markberry1555

    Zanzibar 2020 Tatu bora urais Zanzibar kujulikana leo

    Yaan humu kuna mambo ya ajabu kweli.... Nilishaacha kushusha nondo zangu humu.... Nimebaki kuangalia tu.... Sasa mtu unaandika vitu.... Afu mtu anakuja kushape na editing za hovyohovyo hapa... Siwezi andika jambo la maana
  4. Markberry1555

    Dkt. Mwele Malecela afikisha 50k followers Twitter mara baada ya kuongelewa na Rais Magufuli

    Nyie bado hamjamwelewa Magufuli,.... Rais anamfahamu vizuri sana huyo dada... Hata toka akiwa mdogo..... Anafahamu vizuri babaake ni former PM wa nchi hii, na hata pension ya mzee wake pamoja na ulinzi anapewa..., huyo dada ni type moja na akina nape ambao wamekua chini ya uangalizi wa CCM...
  5. Markberry1555

    Mfahamu kwa ufupi Donnie Yen

    W Rwewc dvdwdrt wdzr
  6. Markberry1555

    Mfahamu kwa ufupi Donnie Yen

    Haya e bSeesezwwwwtyre
  7. Markberry1555

    Mfahamu kwa ufupi Donnie Yen

    Haya Haya y I am not
  8. Markberry1555

    Zanzibar 2020 Utabiri: Samia Suluhu kuwa Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania

    Bora umemwambia brother..... Kuna watu ni mazezeta wa akili Sanaa.... Wanadhani ss hatuipendi tanganyika yetu
  9. Markberry1555

    Ukiona sura yako haina mfanano na mke/mume wako jua hapo hakuna mapenzi ya dhati, bali mnaishi kwa kulazimishana tu

    Hahahahaha jinga kweli ww dada.,.....ww sio mkwere au mundengereko wa dar kweli?.... Komaaa naye... utatoboa
  10. Markberry1555

    Hivi suala la mtoto kukopesha mzazi limekaaje?

    Ww mdanganye. ... Angalia jukwaa lote kama wako nje ya ushauri wangu.... Unapayuka hovyo unadhani itasaidia jambo...... Dogo shika kile watu wengi wanashauri.....
  11. Markberry1555

    Hivi suala la mtoto kukopesha mzazi limekaaje?

    Acha upumbavu dogo..... Dingi mfanye mshikaji wako.... Hata akienda kula watoto ww mpe....... Utaona utakavyopewa baraka..... Yaan baraka za mzazi acha tu.... Yaan hata mambo yako ya naweza nyooka hata ww bila kujua how..... Sasa ww jifanye unajua maisha.... Ww mwambie baba... Mm napokea kiasi...
Back
Top Bottom