Recent content by Mark mod

 1. Mark mod

  WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

  Njoo Kanda ya ziwa nije songea idara secondary
 2. Mark mod

  Dkt. Bashiru Ally awakaribisha ndani ya CCM Halima Mdee na wenzake

  Bulaya alitoka Ccm akaenda Chadema na leo...........
 3. Mark mod

  Safari ya Sudani Kusini

  Vipi fursa za biashara huko kama mahindi,Mchele ,Maharagwe ki ujumla nafaka hukuwahi kudadisi kidogo.Make nasikia Mo anapeleka sana Nafaka huko.
 4. Mark mod

  Ni wapi naweza kupata godoro Oringinal, kwa hapa Tukuyu mjini?

  Magodoro kyela bei rahisi kuliko Tukuyu
 5. Mark mod

  No Agenda: Maisha ya Ngwair alijiona New York akiwa Bongoland

  Nazitumia nnavotaka hata kama haupendi hukuwepo wakati nazisaka usinipangie kuspend
 6. Mark mod

  Je, kichuguu hutumika kishirikina?

  Warangi wanapenda kufanya uchawi wao kwenye kichuguu
 7. Mark mod

  Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan?

  Wachina wwnyewe waliopo bongo wanaagiza magari Japan kwa nini wasiagize kwao China.
 8. Mark mod

  Huyo ndo Rambo

  Inaeleweka sema sisi ndo tunakoroga mambo
 9. Mark mod

  Huyo ndo Rambo

  Wazazi wake walitokea israel wengine wanasema palestina
 10. Mark mod

  Wizi wa mafuta kwenye vituo: EWURA yawataka wenye magari kuwa makini

  Waacheni nao wafaidikie na tunu za taifa make watu wanachachuwa hadi viti maalum.
 11. Mark mod

  Gereji gani nzuri na nafuu kufanya service ya gari DAR

  Nenda kwa fundi seti hapo ilala mtaa wa lindi na songea utafanyiwa kila kitu na utaridhika
 12. Mark mod

  Sababu ya Wamaasai kupewa kazi za ulinzi

  Masai wapo Zanzibar hadi wameanza imba taarabu na mdumange wanacheza
Top Bottom