Recent content by Maringo mponda

  1. Maringo mponda

    JamiiForums Tanzania Hatari ya maneno ya Makonda: Asiombe Viongozi wa Dini wafanye maamuzi!

    Ukiachana na kuwa CCM huyo bwana ana point asikilizwe, ni kwamba most of religion leaders ni watu miongoni mwa watawala wa serikali, ndio hoja ya huyu ndugu.
  2. Maringo mponda

    JamiiForums Tanzania Kikao cha leo kinazungumzia kwanini hujaoa na kwanini huolewi

    Sijaoa kwasababu zifuatazo; 1, sijajiandaa kiakili tulioanbiwa "tuishi nao kwa akili" 2, sijampata wa kuoa mwenye anasifa ninazotaka.
  3. Maringo mponda

    JamiiForums Tanzania Kikao cha leo kinazungumzia kwanini hujaoa na kwanini huolewi

    😄😄 jibu simple kabisa!
  4. Maringo mponda

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Dkt. Ndugulile akishaanza kazi WHO ni noma. Rais wa India akasome

    Otherwise anatafuta legacy
  5. Maringo mponda

    JamiiForums Tanzania Nataka kuondoka Tanzania na kwenda kuishi nje ya nchi

    Hazijui, ndio maana anataka ABCD ajue
  6. Maringo mponda

    JamiiForums Tanzania Usije Ulaya

    Kaka we acha tu, nina kaka yangu toka mwaka2001 yuko UK na ni doctor ila hataki kabisa kuskia nasisi tunataka tufike huko kuangalia fulsa
  7. Maringo mponda

    JamiiForums Tanzania Hizi ndiyo njia rahisi zaidi kuingia Marekani, Ulaya na Asia

    Hii ndio kauli sasa, ni either ufanye ama ufe!
  8. Maringo mponda

    JamiiForums Tanzania Hizi ndiyo njia rahisi zaidi kuingia Marekani, Ulaya na Asia

    Kwakweli, hakuna bahati na sibu
  9. Maringo mponda

    JamiiForums Tanzania Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

    Huyo wakala ni nani na yuko wapi?
  10. Maringo mponda

    JamiiForums Tanzania Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

    Hii nayo kama kweli vile 🤔
  11. Maringo mponda

    JamiiForums Tanzania Kama una mpango wa kuzamia Ulaya au Marekani usikurupuke zingantia haya.

    Asante kwa ushauri na maelekezo je, tunafikaje huko?
Back
Top Bottom