Hiyo ni fangasi ambayo ipo tayari tumboni!tafuta vidonge vya fluconazole kimoja kinauzwa buku tumia kwa siku 30 kila siku unameza kimoja pia na mounth wash utanunua unasukutua mara tatu kwa siku wakati wa kusukutua unaimeza kidogo kwa ajili ya kuua bacteria wa koon na tumboni,jitahidi utanipa...
Jamani kama kuna mtu anajua TPB Wameita watu wangapi kwenye usaili wa CREDIT OFFICER GROUP LENDING ANIJUZE,na pia hivi inawezekana ukautwa kwenye usaili wa nafasi ya degree wakati wewe ni diploma ingawaje uliaply ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.