Recent content by mariatz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Ukali Dr Kitila Amjibu Ansbert Ngurumo

    Kitila iache chadema anzisheni chama chenu .
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Ukali Dr Kitila Amjibu Ansbert Ngurumo

    Kitila ktk wasomi walionihuzunisha ni wewe badala ya kuwa chachu ya mabadiliko wewe unakuwa msaliti. Kwa kweli wewe umeshushia hadhi usomi wako.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wakili Albert Msando kulikuwa na haja kweli?

    ushauri mzuri kabisa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uimara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo

    ulaghai unauona wewe unaefaidika na mfumo uliopo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Live updates kutoka Mlimani City kwenye mdahalo

  6. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Wapinzani Jangwani kurushwa Live na Radio na Televisheni

    Mungu hapendi visasi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Malumbano ya hoja: Matumizi ya muda Bungeni, ni kukua demokrasia?

    Km hitimisho la Dr. LWAITAMA halikukugusa wewe sio mfuasi Kambarage mtetezi wa usawa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Malumbano ya hoja: Matumizi ya muda Bungeni, ni kukua demokrasia?

    Km Marcus ni muhuni basi watanzania tunahitaji kuwa na watu km yeye ili kuleta mabadiliko ya kweli ktkt nchi hii. Mungu ibariki nchi yangu Tanzania
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare apata dhamana...

    Na ahimidiwe mungu maana husikiliza vilio vya wenye kuonewa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yaitisha mkutano wa Dharura na Wanahabari leo Makao Makuu.

    Mungu atakuwa upande wa wenyye haki siku zote. Ndugu zetu watanzania wana ccm nchi hii ni yetu sote.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sitta amwandama Slaa kwa wasomi wa Chuo Kikuu cha SAUT

    Mpaka kufika 2015 tutaona na kusikia mengi
  12. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Dr. Ferdinand Masau wa Tanzania Heart Institue afariki dunia

    Rest in peace dr.
  13. M

    JamiiForums Tanzania HOJA YA MNYIKA YAPITA BUNGENI- Viva Mnyika

    Hakika Mh. Mnyika ni hazina ya taifa hili.
  14. M

    JamiiForums Tanzania HOJA YA MNYIKA YAPITA BUNGENI- Viva Mnyika

    Wewe wasema
Back
Top Bottom