Recent content by maria cruz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kipato cha ziada

    Karibu ndg ujiunge nami ktk kujiajiri kwa kutumia mtaji mdogo wa sh elfu26000 tu,na utaweza kujiingizia kipato kikubwa kwa muda mfupi baada ya kupewa mbinu na mafunzo yatakayo kuwezesha kujua na kufahamu namna ya kufanya biashara hii.unaingia ubia na kampuni kwa kias kidogo cha 26000 baada ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Magumu gani umeyapitia/unayapitia katika kutafuta kazi?

    thanks kwa kunitia moyo,mungu akubrk nawe pia
  3. M

    JamiiForums Tanzania Magumu gani umeyapitia/unayapitia katika kutafuta kazi?

    mh!jamani maisha ni balaa,kumbe kaz ni kla k2 ndg zangu hasa kwass masikin,mwenzenu ninamalza sasa mwaka wa 3cna kaz nshafanya application zaid ya mia,nimeambulia tu written inaishia hapo,nliwah kupewa interview moja na recruiter fulan hv kesho yake nka2miwa email nimepta nisubir maelekezo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini hivi lakini?

    ndg yangu temmbo umetoa very wise idea,name nipo kwenye janga la ajira,nina degree nmemalza chuo 2012 cjawah hta kupata kaz yyote kwenye cv kumetawaliwa na education background na field,sasa naomba unisaidie jinsi gan najkta kwenye ualmu angalau unisaidie manake umr unazd kwenda ajira hakuna...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Usaili Chuo Kikuu cha Afya Muhimbili

    ni kweli ndg yangu,tutaenda tu kwa kumtumainia mungu haki itendeke!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Usaili Chuo Kikuu cha Afya Muhimbili

    habar zenu wana-jf?mm ni kat ya walioitwa kwa interview muhas kwenye kada fulan,ila kuna m2 amenkatsha tamaa sana kwa kuniambia 2naenda kuuza sura wkt nafas zina watu tayar,akanipa mfano ktk kada za administrative officer jina namba tisa(ctaltaja labda mwenye kupenda akaptie)akasema unadhan jina...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Niende Wapi

    hongera!me ushauri ni hv,angalia post ambayo una xperience zaidi yan inayofit ur qualification kupta nyngne na ambayo unatambua una uwezo wa kuitendea hak kwa kujbu vzur maswali
  8. M

    JamiiForums Tanzania Utumishi imeokoa maisha yangu

    hongera ndgu,mshkuru mungu kwa baraka zake,tusaidie maswali wanayoulza kwenye oral?
  9. M

    JamiiForums Tanzania TBS kimenuka interview

    jaman wa2 2lizoea written interview ni multiple choice,heehee!leo tbs wametuweza.
  10. M

    JamiiForums Tanzania TBS kimenuka interview

    jamani naomba anaefanya interview kesho ya hro nae anihakkshie muda
  11. M

    JamiiForums Tanzania helowz!?

    am new here!hope we will help each other nicely.godbless u all jf members.
  12. M

    JamiiForums Tanzania TBS kimenuka interview

    thanks
  13. M

    JamiiForums Tanzania TBS kimenuka interview

    Habari zenu wana jf?naomba kufahamishwa kuhusu muda wa usaili tbs,wametumia muda wa kiswahili ama kingereza,mfano;kada ya human resources officers muda ni 6-7.30 je wanamanisha sakum na mbil-mja na nusu ama sa6mchan-saba na nusu?naomba mnisaidie inanichanganya plz
Back
Top Bottom