Recent content by marekony

  1. M

    GEITA: Waziri Mwigulu aweka gwaride la utambuzi, amkamata Mchina aliyemtesa Mtanzania

    Hongera WMNN kwa kazi nzuri,hakuna MTU mwenye mamlaka au haki ya kujichukulia sheria mkononi
  2. M

    AJALI: Basi la UDA laigonga treni eneo la Gerezani - Kariakoo, Dar

    Kwa ajalivyotokea kuna kila dalili DREVA alikuwa anawahi mataa ya kamata bila kujali taratibu za uingiaji njia ya treni,
  3. M

    Waziri Mkuu okoa jahazi, UDART wameshindwa kuendesha mradi wa mwendo kasi

    Kumekuwepo na idadi kubwa ya abiria wanaopanda magari ya mwendo kasi katika kituo cha Kimara majira ya asubuhi,Kivukoni na Gerezani majira ya jioni. Wingi wa abiria ulazimu abiria kutumia nguvu nyingi kupanda usafiri lakini pia taadhari ya kiusalama miongoni mwa abiria hukosekana jambo...
  4. M

    ITV kupost kipindi kuhusu mkurugenzi wa SIDO aliyetenguliwa ni kukosa umakini

    Ingefanyika editing pia watu wangehoji alihojiwa lini,dk 45 ilifanyiwa promo kwa wiki sasa na baadhi ya maneno ya Eng. Yalishasikika hivyo leo kufanya editing ni sawa na kuyafanya mahojiano yaonekane kama ni ya leo . Chamsingi ni ujumbe ndani ya alichokiongelea ikiwemo vision yake . Lakini pia...
  5. M

    Mhe. Rais, hii ndiyo Julius Nyerere International Airport inavyowatesa wageni na kuwakimbiza

    Sijui ulipita lini airport maana kwa sasa ndani ya uwanja kuna bank ambapo malipo yote ulipwa bank na mteja Lakini jambo la Pili malipo ya VISA ufanyika kwa USD katika vituo vyote vya kuingia na kutoka na hata katika ofisi za Ubalozi Ninavyoelewa kila Mgeni anayelipa visa recept number ya...
  6. M

    Je, TANESCO Arusha kuna upungufu wa mitaa?

    Mwaka 2015 TANESCO kwa kushirikaiana na REA waliwaunganishia umeme wakazi wengi wa wilaya ya Arumeru waliomba na kulipia gharama za kuunganisha umeme. Mwezi October na November mita nyingi za umeme ziliripotiwa kuwa mbovu au zenye itilafu jambo lililosababisha watendaji wa REA na TANESCO...
  7. M

    TRA walitarajia Trilion 1.3 kwa mwezi March, kamishina kimya mpaka sasa

    Kushuka na kupanda kwa makusanyo ya serikali ni jambo la kawaida,tunapaswa kujielekeza zaidi kuzifahamu sababu zilizopelekea kupanda November to December na kuziangalia zilizopelekea kushuka January to February. Kuna taarifa za kupungua kwa wateja wanaotumia bandari yetu ya DSM ambayo ni moja ya...
  8. M

    Uhamiaji pitieni hapa

    Bakhresa food products ltd(csd) 1.gm-south African 2.finance controllers-indian 3.production supervisors-kenyans 4.head plant cleaner-kenyan 5-epr officers & managers-kenyans and Indians 6.Boilers-philipines 7.electrical manager-indian 8.Cost controllers Kenyan 9.internal auditor-indian 10.Mis...
  9. M

    Uhamiaji pitieni hapa

    Kulingana na maoni ya wengi katika Uzi huu ni kwamba watanzania tunawafahamu waalifu walipo na hatuna ujasiri wa kushirikiana na taasisi zetu kuhakikisha wanakamatwa, Nikichukua mfano wa Coca cola kwanza mikocheni na Lake oil Kibaha- yaonyesha watu wanajua maali waalifu walipojificha au...
Back
Top Bottom