Je, TANESCO Arusha kuna upungufu wa mitaa?

marekony

Member
Aug 10, 2015
9
10
Mwaka 2015 TANESCO kwa kushirikaiana na REA waliwaunganishia umeme wakazi wengi wa wilaya ya Arumeru waliomba na kulipia gharama za kuunganisha umeme.

Mwezi October na November mita nyingi za umeme ziliripotiwa kuwa mbovu au zenye itilafu jambo lililosababisha watendaji wa REA na TANESCO kuzichukua mita hizo kwa ahadi ya kuzifanyia marekebisho.

Hadi Leo miezi sita baadaye bado mita hizo hazijarejeshwa na ukifika TANESCO unaambiwa nenda REA na ofisi za REA pia hauelekezwi zilipo.

Ningependa mwenye taarifa au uelewa kuhusu tatizo ili anisaidie ufafanuzi na Elimu kwani yawezekana napaswa kulipia na kununua mita upya.
 
Back
Top Bottom