Recent content by Marcovicsavic

  1. Marcovicsavic

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Azam pay, Sellcom , Snippe na Zeno pay zote na Intergrate within 24 hrs

    Hello mambers kama una mfumo , website au App unayo hitaji kuifanyia intergration ya malipo ya moja ya API mojawapo nio itaja hapo juu basi karibu sana PUSH USSD and automatic payme kwenye site kama e commerce na services
  2. Marcovicsavic

    JamiiForums Tanzania Unafanya biashara gani , je unahitaji mfumo kutunza taarifa

    Habari za leo wandugu kijana wenu nime rudi , Nina mifumo mingi y kutunza rekodi za biashara kama Mining Ofice management office Spare Store Management Systerm Loan Ofice Managenent System POS for supermarket and all size shop Nakadhalka Je unahitaji mfumo wowote ambahaupo hapo na una miss...
  3. Marcovicsavic

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kupoteza imani kwenye mapenzi kunatibika vipi?

    Pole sana
  4. Marcovicsavic

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kupoteza imani kwenye mapenzi kunatibika vipi?

    Silazimishi ila kuna wengine walinstahili kuwaamini na nikashindwa , mpaka na wao wanashindwa sababu ya kuona hawaaminiki no mater what ,
  5. Marcovicsavic

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kupoteza imani kwenye mapenzi kunatibika vipi?

    Huwezi kujua ukubwa wa tatizo hadi likupate , so nawaelewa wanao keheri, i hope hauta pitia kikombe hiki
  6. Marcovicsavic

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kupoteza imani kwenye mapenzi kunatibika vipi?

    Pesa , sidhani kama nina tatizo na pesa , najitaji kua na mtu amabe nita muamini tujenge family , a man without family ni forest bila liver
  7. Marcovicsavic

    JamiiForums Tanzania Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

    Sure
  8. Marcovicsavic

    JamiiForums Tanzania Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

    Daah jamaa angu ulisoma kweli hesabu ? Mbona concept simple sana wewe una jichanganya kiasi hicho?
  9. Marcovicsavic

    JamiiForums Tanzania Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

    Kati ya 3.2829 na 8 lipi jibu sahihi zaidibkwa mtazamo wako?
  10. Marcovicsavic

    JamiiForums Tanzania Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

    Swali linasema find the value of x Alicho fanya marcoveratti ni kwamba katafuta value ya x ambayo kapata 8 , Kicha kaonesha namba nane ni jibu sahihi kwa kuichukua hiyo 8 na kuipachika kwenye kila sehem yenye x ili kuona je LHS itakua sawa na RHS , na ime kuja baada ya kuweka 8 kma ndio value...
  11. Marcovicsavic

    JamiiForums Tanzania Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

    Duh em tazama vema boss Inaoneka u r missing the point , hapo , pay good attention utaelewa
  12. Marcovicsavic

    JamiiForums Tanzania Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

    Alicho kifanya hapi ni kutoa jibu nankuli prove sioni kama katunga swal
  13. Marcovicsavic

    JamiiForums Tanzania Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

    Hahaha na wamegoma kukubari ukilaza wapewe njia
  14. Marcovicsavic

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kupoteza imani kwenye mapenzi kunatibika vipi?

    Habari ya leo wakuu, Baada ya kuachana na mwanamke ambae kwa muda mrefu ndio nilikua nampigia hesabu za kumuoa, nimekuwa na tatizo kubwa sana kutoamini wanawake. Hata pale ninapojilazimisha bado najikuta simuamini, hali hii inepelekea kutofanikiwa kwa mahusiano yote yaliokuja baada ya hapo...
  15. Marcovicsavic

    JamiiForums Tanzania Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

    So wewe ukiweka 2 kwenye sehem za x unapata LHS = RHS si ndio?
Back
Top Bottom