Kupoteza imani kwenye mapenzi kunatibika vipi?

Kupoteza imani kwenye mapenzi kunatibika vipi?

Marcovicsavic

Senior Member
Joined
Nov 14, 2020
Posts
132
Reaction score
308
Habari ya leo wakuu,

Baada ya kuachana na mwanamke ambae kwa muda mrefu ndio nilikua nampigia hesabu za kumuoa, nimekuwa na tatizo kubwa sana kutoamini wanawake.

Hata pale ninapojilazimisha bado najikuta simuamini, hali hii inepelekea kutofanikiwa kwa mahusiano yote yaliokuja baada ya hapo.

Inanisikitisha siwezi kujisaidia kwenye hili, wale wajuzi wa mambo nawezaje kuamini mwanamke tena?
 
Japo wengi wamekukejeli ila unapitia kipindi ambacho ninaogopa kukipitia.
Nikiachana na niliyenaye hivi sasa sitokaa nimwamini mtu tena.
Pole sana Mkuu.
Huwezi kujua ukubwa wa tatizo hadi likupate , so nawaelewa wanao keheri, i hope hauta pitia kikombe hiki
 
Pesa , sidhani kama nina tatizo na pesa , najitaji kua na mtu amabe nita muamini tujenge family , a man without family ni forest bila liver
Watu hawafanani
Ingekuwa hivyo basi tungekuwa tukiumizwa na kuacha ,hatuingii kwenye mahusiano mengine!
Cha mhimu,omba Mungu ,usiwe na haraka,tulia ..
Na ukipata mtu mwingine msome tu...
Cha msingi sikiliza ndani ya moyo wako,maana Kuna viashiria vingi sn km vile kukosa amani nk.... usipuuzie!
Ukiona upo na mtu na unakosa amani,kuwa makini...
 
kwani kuna mbinu mmeigundua nyingine zaidi ya hii ninayoijua mimi
mbn dawa ni ndogo tu, ukihisi anataka kukuacha eb muwahi umuache wewe hakika hauta umia kiviiiile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom