Recent content by Marathon day

  1. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Watanzania wote tuingie kwenye bima ya afya. Tutaepukana na matatizo mengi sana ambayo tumeyatafutia majawabu ya dharura, - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu

    Sidhani kama hii bima ya afya Kwa wote imeshaanza!! Najua Bado ipo kwenye makundi maalum tu.
  2. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Watanzania wote tuingie kwenye bima ya afya. Tutaepukana na matatizo mengi sana ambayo tumeyatafutia majawabu ya dharura, - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu

    Kwani bima ya afya Kwa wote imeshaanza? Niliuliza sehemu moja kwenye office zao wakaniambia bima ya afya Kwa wote Bado, ipo kwenye makundi maalum tu
  3. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Msaada sina kabisa nguvu za kiume

    Baada ya kunywa na kufanya kitendo, unalipia 1 Milioni, kesho imekufa Tena, au inamwendelezo? Na swali la kizushi, hiyo dawa ni mitishamba au dawa za kizungu? Side infect yake pia ni muhimu Kujua kabla ya matumizi
  4. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Msaada sina kabisa nguvu za kiume

    Hospital, kamuone Dr wa urologist, nadhani itakuwa sehemu sahihi sana kwako
  5. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Jenerali Mkunda: Wastaafu JWTZ Epukeni Siasa

    JK, Kinana, na wengi tu walikuwa kwenye siasa na Bado wapo
  6. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Jenerali Mkunda: Wastaafu JWTZ Epukeni Siasa

    Mbona wanateuliwa Kila uchwao kwenye siasa? Ukuu wa mikoa / wilaya na wapo wengi tu, wakatae teuzi?
  7. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Bunge linapaswa kuchambua Sera za nchi, siyo kuomba barabara Majimboni

    Kazurambimba ni Kigoma ndg, sio Rukwa
  8. Marathon day

    JamiiForums Tanzania HOJA Gari zilizosajiliwa “transit” ni sahihi kubeba mizigo ya local?

    Wivu wa kitoto, nijuavyo kabla hizo trucks wanakata vibali vya mda TRA na kubeba local cargo.
  9. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Marehemu Kibonde aomba msaada wa Kisheria kuhusu mirathi ya baba yake

    Kibonde alikua "TUNGI" mzoefu tu, hakuwa na lolote, ila mke wake alikuwa na mawe hasa, yeye na familia Yao wote walikuwa vizuri. Mpaka anafariki walikuwa wamepanga maeneo ya External Ubungo
  10. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Marehemu Kibonde aomba msaada wa Kisheria kuhusu mirathi ya baba yake

    Baba yake na Kibonde alikuwa Operation Manager TPA, Mke wa Kibonde Wazazi wake ni watu wenye uwezo sana, wanashindwaje kuwasaidia hao wajukuu? Ikumbukwe Mke wa Kibonde alifariki kabla ya Kibonde kumfuata(kufariki)
  11. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Nimevumilia Usaliti wa Mke wangu kwa Miaka, Simu yake imenifungua Macho

    Wote hao wajita na wakerewe Vis--mi vyao ni virefu kama hujuibkucheza navyo utachapiwa mpaka ukome, pamoja na hayo wengi ni Malaya sanaa! Kudumu na mume mmoja ni shida kwao. Kama mbali nao
  12. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Je, huu ndio ulikuwa mwisho wa Hananja?

    Ile kujilamba mdomo ni dalili ya sukari, itakuwa imeshamtafuna, mengi asemayo tuwe tunayapima. Sio mzima kichwani huyu mtu
  13. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Nimejikuta nimewakumbuka watu waliotekwa (kina Polepole)

    Kelele za kaka na mama yake polepole mbona hazisikiki tena? Huenda wanajua alipo au walilazimishwa kukaa kimnya
  14. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na hizi line za HALOTEL za m2m

    Nilishajaribu kudownlod , tatizo kwenye HALOTEL app watadai password ambayo inatumwa kwenye line ya m2m, utapataje password Ili uthibitishe? Kumbuka msg haiwezi kuja kwenye number hiyo ya line ya M2M
  15. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na hizi line za HALOTEL za m2m

    Ndg zangu tuwe makini na hizi line za HALOTEL za m2m, wakishakusajili unaweza angalia balance vizuri. Baada ya week moja ukitaka kuangalia salio hupati majibu. Hapo ni either uwapigie customer care au ushituke tu bando limekata. Niliweka bando la 15,000/ Kwa 18GB mwezi. Matokeo yake...
Back
Top Bottom