Recent content by Marata

  1. M

    Rais Kikwete anavunja Baraza la Mawaziri lini?

    Tujiulize Bunge limevunjwa? Kikwete alitoa kauli tu ya tarehe ya kuvunja Bunge alipolihutubia lakini hajatamkaa Bunge limevunjwa rasmi. Wanazuoni Bunge kuvunjwa limetoka kwenye Government Gazette? Bunge likivunjwa maanake hundi za mafao ndani ya siku 3 zile zishaingia kwenye account ni mamia ya...
  2. M

    Ubunge mushi mjini: Mosha badala kupeleka wahandisi washauri anatembea na wakandarasi

    Nimemsoma Mgombea Ubunge wa Moshi mjini wa CCM Davis Mosha kuahidi akipitishwa atajenga soko la kisasa kubwa. Katika kunadi kura alipeleka wahandisi wa Group Six International kutoka China ambao ni wakandarasi (contractors). Ukweli alitakiwa atembee na wahandisi washauri (consultants)...
  3. M

    Waziri anapewa heshima za mwisho Karimjee, Rais yuko Marekani

    Kikwete ni mtu wa matunuzi, sasa yuko kwa Obama subiri hizi siku 20, ataenda kwa Cameron (UK), Angela Markel (Ujerumani), France, Spain, Kenya, Rwanda etc
  4. M

    Serikali imetangaza zabuni kwa kampuni za ujenzi nje ya nchi kubomoa jengo la ghorofa 16 Dar

    Hii Tender ya kubomoa ilitangazwa kama Kanuni zinavyodai? Yaani katika magazeti zaidi ya 3 mawili ya Kiswahili ya kila siku zaidi ya mara 2 kwa wiki 4? Vifaa naamini Tanzania vipo Estim nk wanavyoo na wana uwezo wa kubomoa. Kama wanaweza kupandisha zege hadi ghorofa 24 washindwe kubomoa ghorofa...
  5. M

    Masaburi anaanzisha fujo zingine Manzese kwa kukodi vijana kufungua kituo hewa

    Nasikia mitaani wanasema Masaburi (Aliyetukana waheshimiwa wanafikiria kwa makalio) ana pesa nyingi kutokana na kuuzwa kwa UDA na anazitoa nje nje kwa shughuli za kampeni. Kama Kweli Saed Kubenea ana kazi.
  6. M

    Rais Kikwete amteua Amos Makala na Rugimbana kuwa wakuu wa mikoa

    Na Aden Rage, Titus Karani, Pereira Silica, Gaudensia Kabaka mbona amewasahau!?
  7. M

    Hivi ni kwanini jimbo la Ushetu CHADEMA na NCCR wameweka wagombea ubunge?

    Hi ndio changamoto inaikabili UKAWA. Chagua mgombea anayekubalika kati ya CHADEMA na NCCR. Ningekuwa mpiga KURA USHETU ningeipigia CHADEMA kwa kuwa mgombea wake alipata kura nyingi CCM wakamkata.
  8. M

    Hivi ni kwanini jimbo la Ushetu CHADEMA na NCCR wameweka wagombea ubunge?

    Hi ndio changamoto inaikabili UKAWA. Chagua mgombea anayekubalika kati ya CHADEMA na NCCR.
  9. M

    Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo - Agosti 30, 2015

    Ninavyoelewa Mh. Agustine Mrema ndie alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani kwenye sakata la Mwembechai wkt Rais akiwa Mwinyi Mzee Rukhsa. Mh. Sumaye alikuwa Waziri Mkuu enzi za Urais Wa Mh. Mkapa wa mwaka 1995-2005. Hivyo maneno ya Habib Mchange wa ACT wazalendo sio sahihi.
  10. M

    Yusuf Manji amekatwa udiwani Mbagala

    Manji karibu UKAWA
  11. M

    Mkapa hupendezi kutoa matusi

    Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa jana katika uzinduzi wa kampeni za CCM aliwatukana wapinzani kwamba ni WAPUMBAVU. Mkapa anatambulika kama Rais Mbabe na ikumbukwe ndio alikuwa madarakani Wapemba walivyouawa Zanzibar mwaka 2014. Wewe ni Rais Mstaafu hivyo kutoa MATUSI hadharani si ustaarabu.
  12. M

    Mgana Msindai vs Wilbroad Slaa

    Hizi taarifa si za uhakika Dr Slaa bado ni Katibu Mkuu wa Chadema atarudi ofisini muda si mrefu. Wacha Salum Mwalimu aendelee kukaimu, Dr Slaa anarudi Tunampenda na Tunamuhitaji.
  13. M

    Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

    Watuambie na ya Professor Anna Tibaijuka nasikia naye alitimuliwa. Tatizo kubwa ni watanzania kudharau lugha za kigeni haswa kiingereza. Mawasiliano yanakuwa shida kwa English ya kubutuabutua unaonekana mzigo.
  14. M

    Sikonge waandamana kupinga Said Nkumba kuchaguliwa na CHADEMA

    Hii ni changamoto UKAWA walionayo. Swala kubwa si Demokrasia tu bali kushinda MAJIMBO mengi iwezekanavyo ili BUNGENI kuwe na Balance mambo ya Ndiooo yasiwepo. Ukweli wanaokatwa CCM wanauwezo mkubwa wa kushinda Jimbo maana wana mtandao. Hata kama Urais UKAWA hautashinda lakini kuna uwezekano wa...
  15. M

    Uhakiki wa kitambulisho cha kupiga kura kupitia mitandao ni sahihi?

    Ukweli Uhakiki umewekwa ili mwishoni idadi kubwa ya wananchi wakikosa haki yao kupiga kura wadai tuliweka uhakiki nyie hamkuhakiki taarifa zenu. Mimi nimehakiki kwa simu baada ya kuona kituo nilichojiandikisha biashara imeisha hamna mtu. Nili hakiki kwa namba *152*00# nikafuata maelekezo yote...
Back
Top Bottom