Unauliza sana, hadi saiz haujafika?? Sa age mie naijuaje nakat mwonekano ndo naweza kuuona. We sio mlaji, me nipo hapa kwenye maduka ya nje nafaka vinavyofika na bajaj kabla havijaingia
GZM na engineer wote wanabet na kunegotiate na wahindi kula mafungu na kuchana mikeka kuokoa mtaji wa muhindi na kuwapa walalahoi wa yanga wanaotokwa mate kusifia timu nzuri matokeo yake inajipigisha Tabora
Unataka Manara apewe kocha?? Acha uchawa wewe, manara ni mtu wa hovyo na msaliti anayejali tumbo lake, leo anaweza kuwa Yanga kesho akatuacha solemba. Timu ikihitaji kujiboresha itasajili mchezaji sio mpiga domo kama unayempigia debe
Wanabishana kuhusu kumuua kiongozi mkuu wa Iran, waziri anasema wamuache il wasiende kwenye full scale war… waue wengine wote. Ye Netanyahu anamtaka Ayayollah amuwahishe akale vimodo 72
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.