kaka mpe huyo we unafikiri kuitwa watu elfu 20 then wengine wakaenda taifa kama kuna mech ya yanga na mtibwa sugar ulifikir raha! jaman bora mmejionea majina na mandgu zao wa huko! ee mungu nani kama ww mungu udhalimu huu mpaka lini! wahukumu na moto wako wa jehanam wanaoonea wanyonge wasiokuwa...
jamani kiboko ya wote ni simon ngowi chini ya kampun ya nadhra construction jamaa amefanya mikoa kibao na sasa hivi yupo maeneo ya air port ndo anamalizia mradi wa kampun kesho. mchek kupitia 0714822109
mtoto sio wa mwana ndio ni mtoto wa urasa. ila urasa ndo alikuwa anafanya kazi maeneo alipokuwa anafanyia mwana ndio zaman. tatizo marangu sijui ni hivi viroba + bangi, kila siku pombe mpya zinazalishwa marangu, serikali nayo ipo kimyaa ndo hiz sasa hazina hata tbs mtu akinywa zinamtuma afanye...
hata hapajulikani wakubwa au ndo wale jamaa wanaoijiitaga kampun mpya toka kanada ukienda unakuta vyombo aina zote wakuu train cku mbili ya tatu kazi unaanza..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.