Recent content by Maramla

 1. Maramla

  Huu uoga umeanza lini CHADEMA?

  HUU UOGA UMEANZA LINI CHADEMA? Na Mwal. NICHOLAS, SOMBETINI Nimekuwa muumini wa siasa za hoja kwa muda mrefu sasa kwangu CHADEMA imekuwa shule na wakati mwingine kama nyumba ya mawazo mbadala. Vijana wengi tulioanza siasa katika Viunga vya Chuo Kikuu cha Dar es salaam tulivutiwa na muktadha...
 2. Maramla

  Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

  Baada ya Kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli na hatimae Mama wa Afrika Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kushika usukani wa kiliongoza Taifa, kumekuwa na Washauri wa kila aina kuhusu majukumu yake. Ninapowafuatilia nawaona kabisa namna mlivyokosa...
 3. Maramla

  Kitendo cha Baadhi ya Vyama kusherehekea na kukebehi Kifo cha aliyekuwa Rais Magufuli hakifai

  Moja ya karata mbovu kuwahi kuchangishwa katika Siasa za Upinzani Nchini Tanzania ni kitendo cha Baadhi ya Vyama hivyo kusherehekea na kukebehi Kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dr. John Pombe Magufuli. Mbaya zaidi walianza kumfanyia husda Marehemu bila...
 4. Maramla

  Mihemko: Kuna watu wanashangilia kila kitu

  Kuna watu wanashangilia kila kitu, hata usielewe kipi kwao ni kipaumbele. 1. Wakija Nzige wanashangilia 2. Wakisikia mlipuko wa magonjwa wanashangilia 3. Maharamia wakijaribu kuvamia nchi wanashangilia 4. Kenya wamezuia mahindi, wamo 5. China wamegundua kipimo kipya cha Corona, shangwe Yaani...
 5. Maramla

  Jinsi mitandao inavyovimaliza vyama vya siasa Tanzania

  Vyama vya Siasa Nchini Tanzania ni takwa la kisheria ambalo katu haliwezi kutiliwa shaka katika uwepo wake. Kwa makusudi kabisa Mwaka 1992 Tanzania ilikubali kuingia kwenye mfumo wa Vyama vingi vya Siasa. Uendeshaji wa Vyama vya Siasa umewekewa muongozo thabiti, ambapo kila Chama kinaongozwa...
 6. Maramla

  Mpinga maendeleo hana tofauti na mpinga Kristo

  Umeshikwa na mihemko ya Imani.... Najua unataka kuacha suala la msingi kuwa maendeleo hayawezi kusimama kwa kelele zenu na kujadili Dini... Siko huko. Bado ukweli unaujua kuwa jambo pekee linalowaumiza wapinga maendeleo ni kwamba Nchi inasonga mbele na haitosubiri wewe useme "YES"
 7. Maramla

  Mpinga maendeleo hana tofauti na mpinga Kristo

  Mtazame huyu!!! Vitu hujenga watu na maendeleo Yao, na ndio maana unaona miradi ya afya, barabara, usafiri wa anga, usafiri wa majini na miradi mingine ikiwemo umeme inatekelezwa kwa kasi ili kurahisisha maendeleo ya watu.
 8. Maramla

  Mpinga maendeleo hana tofauti na mpinga Kristo

  Najua kwako wewe mtu Mwelevu ni yule anayepotosha, kuogopesha, mwenye husda na chuki. Kwahiyo mimi nawewe hatuwezi pimwa kwa mizani moja kwakuwa una jicho la kobe... Yaani banda lako unatembeanalo mgongoni.
 9. Maramla

  Mpinga maendeleo hana tofauti na mpinga Kristo

  Kumekuwa na kelele nyingi zinazohusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa Nchini, awali vigezo vya kupingwa maendeleo ilikuwa "SERIKALI INAFANYA MIRADI ISIYOSAIDIA WATU WOTE". Ununuzi wa ndege ulipingwa, ujenzi wa reli ulipingwa, mradi wa bwawa la kufua umeme ulipingwa...
 10. Maramla

  Wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA) na kisa cha asiyefanya kazi na asile

  Na Mwamba wa Kaskazini Nianze kwa kongole kwa Mbunge wangu kipenzi Halima Mdee na wenzake waliokubali kutimiza haki yao ya kikatiba leo kwa kukubali kuapishwa kuwa wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA) kwenye Bunge la JMT. Wabunge hao takribani 19 wa CHADEMA wameapishwa leo wakati mambo mawili...
 11. Maramla

  Kabendera: Lessons and New Juriprudence in Media Accountability

  By Johnson Kaliua, Dar es Salaam For any criminal defense lawyer charges relating to money laundering, cybercrimes and similar technology based felonies, you need to prepare your case in extra ordinary ways, and where possible, base your litigation strategy on technical issues such as...
 12. Maramla

  Tumeamua, sasa madini yanatema

  Dar miner records 36pc sales boost Williamson Diamond Mine in Tanzania has announced a 36 per cent increase in sales revenues and a 17 per cent increase in production in 2019. Majority shareholders Petra Diamonds said in its latest trading update that the improved figures were recorded even as...
 13. Maramla

  Tanzania yapata Mkopo wa Sh. Trilioni 3.3 toka Standard Chartered Bank kwa ajili ujenzi reli ya SGR

  https://www.nytimes.com/reuters/2020/02/14/world/europe/14reuters-tanzania-railway.html Sent from my iPhone using JamiiForums
 14. Maramla

  Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

  *UKITAKA KUJUA MAGU BABA LAO, MATHEMATICS IMEJAA NA KULALA KAMA PAI SOMA HII TENA KWA LUGHA YA MSISITIZO* Phase 1 of the SGR project (Dar es Salaam to Morogoro - 205 km mainline and 95 km passing loop) is more than 70 percent complete *(Balance 30%)*. Construction of Phase 2, of the SGR which...
Top Bottom