Recent content by Marakas

  1. Marakas

    JamiiForums Tanzania Miaka mitano iliyopita ulikuwa unaamini nini ambacho leo kimebadili mtazamo wako?

    a)Upendo pekee hautoshi kudumisha uhusiano. Inabidi kumjua mwenzi wako mapungufu yake na kuyakubali kuwa hawezi badilika katika hayo, ili maisha yaendelee. b)kadiri unavyomjua mtu zaidi kiundani ndivyo heshima yako kwake inavyopotea, hivyo tuwachukulie kama walivyo na mapungufu yao na tuheshimu...
  2. Marakas

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani la kifedha ulilofanya ukiwa na miaka 18–25 ambalo bado unalijutia hadi leo?

    Baada ya kumaliza chuo, kutoka katika pesa ya boom nilisave 1.7M, nkaenda mkoa mwingine kuuza chips. Biashara haikuwa nzuri, nikaiacha nikauza vifaa pesa nlopata nkafungua genge, napo biashara ikawa ngumu, nikaacha. Najutia kuwekeza katika biashara nisizozifahamu.
  3. Marakas

    JamiiForums Tanzania Dhana ya mafanikio kiroho na kimwili

    Once you understand the power of your words, you won't just say anything. Once you understand the power of your thoughts, you won't just think anything. Once you understand the power of your presence, you won't just be anywhere. "Know your Value"
  4. Marakas

    JamiiForums Tanzania Five minute management course

    This is quite interesting... (To women) Please take time to ponder... (To men) Just enjoy the story...... Young King Arthur was ambushed and imprisoned by the monarch of a neighboring kingdom. The monarch could have killed him but was moved by Arthur's youth and ideals. So, the monarch...
  5. Marakas

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Ushauri kwa watunzi/wasimuliaji wote, njia nzuri ya kuepukana na mambo ya kukatishwa tamaa kabla ya lengo la stori yako kuitimiza jitahid uandike yote na uitume yote. Ushauri kwa wasomaji, kwenye kila stori kuna la kujifunza iwe niya uongo ama ukweli, kikubwa tuburudike. Tuthamini kujitolea kwa...
  6. Marakas

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Machinga mimi Masikini

    kuwezekana kwa mambo hayo, kunatokana na uwepo mdogo wa watu ndo maana maendeleo yamepatikana si ndio!
  7. Marakas

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Machinga mimi Masikini

    "kila mtoto anayezaliwa ana fursa sawa na mwingine haijalishi kama ni yatima au mzazi wake hakutimiza majukumu, ana fursa za kutengeneza kesho yake mwenyewe". hapa naomba ufafanuzi zaidi
  8. Marakas

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Machinga mimi Masikini

    Shukran, kipengele hiko nimekirudia kusoma mara kadhaa, kinafikirisha sana.
  9. Marakas

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Machinga mimi Masikini

    mkuu tupo pamoja
  10. Marakas

    JamiiForums Tanzania DARASA: Namna ya kumfanya anayekuda akukopeshe tena kabla hujamlipa deni la awali

    kopesha/kopa kile unachomudu kulipa/ama kutolipwa.
  11. Marakas

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Machinga mimi Masikini

    Bila shaka hapo ina maana siasa hazipewi kipaumbele??
  12. Marakas

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Machinga mimi Masikini

    popote pale changamoto hazikosekani, mji huu unakumbwa na changamoto zipi?
  13. Marakas

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Machinga mimi Masikini

    Swala la ulinzi nalo, lilizingatiwa katika huo mji? swala la uongozi je lilibaki kwa mzee busara na machinga?
  14. Marakas

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Machinga mimi Masikini

    shukrani
Back
Top Bottom