Recent content by mapunye

  1. M

    Yawezekana lengo la CHADEMA si kuchukua Dola

    Humjui katambi amekuwa chadema muda mrefu sana binafsi nimemfahamu SAUT mwanza na alikuwa mwanaharakati haswaa wa chadema so kusema alipewa uongozi bila kuchunguzwa au ghafla unaongopea.
  2. M

    CHADEMA wamlima barua Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji F. Mtungi

    Watu wenye mafanikio hawakumaliza shule,I see mnyika at the top of doctors.
  3. M

    CHADEMA wamlima barua Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji F. Mtungi

    Hicho ni chama cha watu ni muhimu aither kutoa taarifa au feedback ya mambo yanayotokea ndani ya chama tena kwa kutumia mitandao ya kijamii kwa sababu vyombo vya habari vimezibwa midomo!
  4. M

    Wamiliki wa nyumba za kupangisha na wapangaji pitieni hapa, hii inawahusu

    Mkuu tunaishi na wapangaji kwa ugumu mno kuna walevi,wagomvi,wachafu, wapiga miziki kwa sauti ya juu mpaka usiku wa manane na kila kero afu ndo uongeze kodi na malipo kwa mwezi mmoja si kheri nimfungulie mke Wangu mradi wa kuku wa kisasa kwenye hivyo vyumba?
  5. M

    Wamiliki wa nyumba za kupangisha na wapangaji pitieni hapa, hii inawahusu

    Nijenge mwenyewe kwa Shida na pesa za kusimangwa na waajiri na mabenki then aje mla vya bure anipangie bei plus kulipa kodi si bora nifugiemo kuku wa kisasa? Wapangaji wenyew tunavumiliana mambo mengi.
  6. M

    HALOTEL, Nadhani mmefikia ukomo wenu wa kutuhudumia wateja wenu ambao tuna matumizi mazuri ya Internet

    *TCRA REPORT ON TELECOM CHARGES IN TANZANIA* According to TCRA, TIGO network for calls and sms is most expensive compared to other network in Tanzania.. Network with reasonable rates are, TTCL, ZANTEL and BENSON(SMART).. *SAME NETWORK CALLS CHARGES* TIGO to TIGO is tsh 360 per minute...
  7. M

    Unafanya nini mbwa wako kuwa mkali

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo njia ya kuwavutisha ganja ilinishinda ndo maana nikaja na uzi huu kupata njia nyingine .
  8. M

    Msanii Wema Sepetu arejea CCM, aitosa CHADEMA

    Kesi,lip stick za kiss na nyumba haikuwa rais yy kubaki CHADEMA ccm ina watu wengi wasiokipenda chama hicho.
  9. M

    Unafanya nini mbwa wako kuwa mkali

    Yeah in kweli mkuu hawa wa kwangu niliwapa mmea mixer ugoro wamekuwa shida mtaani ila nilitaka mbinu nyingine sababu zoezi la kuwavutisha linahitaji uwe mvutaji pia.
  10. M

    Unafanya nini mbwa wako kuwa mkali

    Salaam wakuu, kwanza niwatakie mapumziko mema ya sikukuu ya Maulid. Kama title inavyojieleza nataka tushare na wewe mbinu mbalimbali za kumfanya mbwa wako kuwa mkali zaidi na kuogofya wezi na vibaka mtaani pengine hata wageni wakifika getini waulize "mbwa mmemfunga?[emoji28] [emoji28]...
  11. M

    CHADEMA: Tulishaanza kumuandaa Katambi ili asaidie Chama kwenye kitengo cha sheria kama Wakili

    Pia kumbuka chadema ilipo sasa haihitaji mwenyekiti goigoi aina ya katambi.
  12. M

    Mbunge wa Sumbawanga mjini Aeshi Hilary

    Pengine alikuwa na taarifa kuwa bwana yule akuwepo alikuwa idodomya Kwa shughuli maalumu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Zijue mbinu za Kisasa za Kumkwepa kumlipa nauli Kondakta katika Daladala

    Njia nyingine pendelea kushuka karibu na vituo vya polisi au Kambi za jeshi kondakta ataogopa kukudai akidhani ni askari Njia hii imenisaidia Sana songea nilipokuwa nashukia Ruhuwiko (NMC) watu walidhan me mwanajeshi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    Nini Msimamo wa CHADEMA na mwenyekiti wake kuhusu kilimo ndani ya mita 60 kutoka Chanzo cha maji?

    Hayuko ndani ya mita 60 kutoka kwenye chanzo cha maji bali ni mita 60 kutoka mtoni pia kwa maelezo zaidi yupo 20km kutoka kwenye chanzo cha mto huo. Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom