Recent content by Mapso

  1. M

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ILIWEZAJE KUTOA AJIRA ZA UALIMU KWA WATU WASIO WALIMU NA KUWAACHA WALIOSOMEA UALIMU ,PACHUNGUZWE

    Mkuu hii ni professional kama uliyosoma wewe chuo, waheshimu wakikusikia
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Hizi ni baada ya Makato au ni gross
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Duh kwa hali hii sishangai kabudi kusema alitolewa jalalani, yani mshahara wa mtu wa PhD anazidiwa na officer ambaye ni dogo tu anayeanza kazi kwenye taasisi au mashirika
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    EWURA mbona nao wanaingiza mapato, sijasema Kuna Maisha kuliko TPDC nmezungumzia mshahara kwenye allowance hapo labda TPDC ndo atakua juu ila salary EWURA wapo juu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Mi mwenyewe nawashangaa TPDC salary sio kubwa kama mnavodhani labda allowance ukitaka sehemu zenye salary kubwa nenda gaming board, TCRA, EWURA,TASAC,TRA, TCAA na zingine nyingi tu Kuna hiyo ya kwanza haivumi ila ni balaa kwenye maokoto
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Unamhamishaje mtu bila taarifa ulimsaidia kufanya interview??, jitu limekaa ofisini linajiandikia barua ya uhamisho aisee sio fair kabisa yani, kwani sababu ya kumhamisha mtu bila taarifa huwaga ni nini hasa??
  7. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Pole, hao wote hawapiti utumishi wanaajiri wenyewe ni mwendo wa vimemo tu huko kazi unayo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Hivi wakuu kama mtu aliajiriwa utumishi baada ya kwenda kuripoti kwa mwajiri zile siku 14 akapata kazi kwenye taasisi ya serikali ambayo haitumii check namba baada ya muda ile taasisi ya mwanzo inamwambia mchakato wa check namba tayari akaripoti aanze kazi, baada ya hapo akaawaandikiq barua kuwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mkanganyiko kwenye madirisha ya E-uhamisho kwa Watumishi wa Umma

    Mi mwenyewe nautaka aisee nmetafuta sijaupata mwenye nao atutumie hata inbox
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dogo afanyaje kwenye scenario kama hii??

    We nawe utaratibu huujui taasisi kibao tu zinaajiri zenyewe na Zina employer number, hizo check namba ni wale wanaotegemea mshahara hazina tu Kuna taasisi zinajilipa mkuu TRA,TANESCO,NSSF,NHIF,GBT, PSSSF, huo ni mfano tu hao hawana check namba ila kwakua ni taasisi za serikali mwenye check namba...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dogo afanyaje kwenye scenario kama hii??

    M ivi TRA wanatumia check namba??
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dogo afanyaje kwenye scenario kama hii??

    Hiyo check namba itakuaje
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dogo afanyaje kwenye scenario kama hii??

    Kwaiyo saivi hata kama hujasaini offer letter wanakupa tu check namba na mshahara wanalipaje mtu na offer letter hajasaini au mi ndo sijaelewa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dogo afanyaje kwenye scenario kama hii??

    Mi mwenyewe nmeshangaa verification ya vyeti tu na check namba tayari sasa akienda kwenye hiyo taasisi hiyo check namba atapata nani
Back
Top Bottom