Recent content by mapozi baby

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msichana wa mshikaji wangu hapendi kuoga

    Mmh mtu mzima alazimishwe kuoga?Hapana haiwezekani,lzm atakua na munkali au mapepo?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mume wangu ananipa wakati mgumu kipindi hiki nikiwa na ujauzito wake, hanijali

    Ahsante kwa ushauri mzr but mbona me sina wivu jamani?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jamani ustaharabu kitu cha bure!

    Unataka kumlipia mkuu?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, mwanaume anaweza kumbaka mke wake wa ndoa?

    Sijawahi kusikia mwanamke kalazimishe sex kwa mwanaume.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya mimba isiyo na baba

    Halafu wewe ujue unaniudhi na hizi comment zako?kwani lazima ucomment we boya?Unaona m2 anamaumivu na ww unaongeza chumvi kwenye kidonda.Mfyuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mume wangu ananipa wakati mgumu kipindi hiki nikiwa na ujauzito wake, hanijali

    Ahsante ntaitafuta hiyo dawa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mume wangu ananipa wakati mgumu kipindi hiki nikiwa na ujauzito wake, hanijali

    Mkuu sasa huo ndo ushauri gani?mbn unamwaga mafuta kwny nyumba lnayoungua?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mume wangu ananipa wakati mgumu kipindi hiki nikiwa na ujauzito wake, hanijali

    Mmh! dada mbn maneno makali? mtu yupo kwenye wakati mgumu anaweza kuongea chochote,kuongea so kutenda plz understand she's stressed out right now,she needs comfort and understanding.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mume wangu ananipa wakati mgumu kipindi hiki nikiwa na ujauzito wake, hanijali

    We acha tu shosti wangu hilo wazo nimelifikiria sana?najiuliza what's the point?Km m2 unambebea mimba hlf anakuletea mambo ya kijinga na kishetani as lf hajazaliwa na mwanamke?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya mimba isiyo na baba

    Kwani we mbona limekuchoma?Na ww askari magereza?
Back
Top Bottom