Recent content by MAPOOOZII

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

    Si kweli, kuondoka kwa Dr Slaa cdm ni kama kukata mti kwa chini ukiwa juu umeukwea!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Huu ndio mwanzo wa kifo cha CCM kilichobashiriwa?

    Jenerali amesema yote.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msimamo: Nitasimama na Majemedari Ninaowajua, Tuliopigana Vita Pamoja Nao...

    Jamani tusianze kuweka misimamo. Ni vema tukaendelea kujadiliana, kushauriana, kuelimishana kupeana muda zaidi na mwisho tutatoka na jambo moja ambalo kwa wote tutaridhika nalo. Nadhani Lowasa angependa kupeperusha bendera ya Ukawa lakini hili sio jambo la kuomba na kupewa. Ni jambo la...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msimamo: Nitasimama na Majemedari Ninaowajua, Tuliopigana Vita Pamoja Nao...

    Mkuu, ili kumaliza vita ni lazima tutumie silaha ya juu na kali kuliko zote (WMD) kama ilivyotokea Hiroshima na Nagasaki. Na ni lazima tukubali gharama yake, otherwise tutaendelea na mfumo wa uoga na malalamiko. Wenzetu waliofanya hivyo wanapiga hatua hata kama kuna changamoto.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar aliyefukuzwa kuwa Mgombea Mwenza

    Hii strategy nimeikubali. UKAWA vichwa!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA waita Wahariri, waahirisha ghafla na kuomba radhi

    I hope all this is not rumours or propaganda!
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

    Hapana. Akaribishwe tu kama mwanachama wa kawaida.
  8. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA; The end will justify the means

    While the goal of UKAWA is definate the means of realizing it can not be easily explained to its followers. The coalition leaders nevertheless have specific direction towards meeting the goals though these could drift them from their policies of non tolerance to issue related to corruption and...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    Yap. Mabadiliko ni sasa!!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Mhe. Lowasa Chadema

    Ni dhahiri kwamba mhe Lowasa ni mtaji mkubwa katika kujiunga na chadema/ ukawa. Aidha utaratibu na makubaliano ya kujiunga na CDM ndiyo utakaomfanya awe mtaji au mzigo kwa chama. Ikumbukwe kwamba Lowasa anajiamini sana na hadi sasa anaamini kwamba ana nafasi ya juu kabisa ya nchi hii na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kihistoria wa CHADEMA Kahama leo

    Magufuli ni kama betri mpya kwenye Gari bovu ambalo altaneta imekufa, litatembea mwendo mchache.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA wamkaribisha Lowassa

    Kila jambo lina wakati wake. Nyakati za mwisho wa CCM ni sasa maazingira yote yanazitokeza. Huu ni wakati wa upinzani hususani CDM kuchukua nchi. Ila kama michezo mingine ni lazima wawe making katika lala salama hii.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli apigilia msumari kwenye jeneza la CCM

    Huo ni mwanzo tuu tutarajie makubwa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini iwe CHADEMA tu? Kuna mkono wa mtu, Si bure!

    Kuna ishara tosha ya mabadiliko makubwa kutokea katika nchi hii na Chadema kimekuwa kinara wa mabadiliko haya ndiyo maana kimekuwa na mvuto mkubwa
Back
Top Bottom