Mimi ningependa tuweke makundi mawili hapa, Wabunge wasomi wanaoweza kuchanganua masuala ya nchi, na wale ambao uwezo wao ni wa kawaida. Watu kama Lusinde, Lema, Assumpta Mshama. Hawa uelewa wao ni mdogo mno sasa ukichanganya na mfumo wa RUSHWA huko NDANI ya BUNGE basi inakuwa shughuli pevu...