2015 unawamaliza hawa

2015 unawamaliza hawa

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
692
mwaka ambao niliusubiri kwa hamu sana na
Nina sababu za kuusubiri, ni mwaka ambao
wanasiasa watageuka kuwa watumwa wetu kwa
muda na watatuomba kweli mwaka huh, sasa
watanzania wenzangu nikiwa na akili timamu
nimeona tuambiane mapema kabla ya iyo siku ya
kuwafurumisha hawa wachumia tumbo, wafuatao
hawapaswi kurudi bungeni hata iweje na kama una
Wa kuongeza wewe ongeza ila hawa wamekua
kero sana kwa watanzania wenzangu.....nianze na
Livingstone lusinde huyu ameamua kuamishia
comedy pale bungeni sasa tumsaidie kwa kumyima
kura akatafute kazi ze comedy huko
akachekeshe...nikumbushe tu jamaa alishawahi
kutoa matusi ya nguoni kule arumeru kwenye
kampeni ambazo naasari aloshinda, Wa pili ni
mwigulu lameck nchemba huyu jamaa anaongoza
kwa dharau nakumbuka alishawahi kutupa bajeti
kivuli ya upinzani na kuuita takataka pia ana
tuhuma lukuki za kuweka kura kwenye themosi
hapa siitaji kusema sana kwakua mnamjua huyu
msimpe kura.....nambari tatu ni mzee Wa vijisenti
huyu asipewe kura kwakua kila tuhuma yeye yumo
kuanzia richomnd , dowans, meremeta, escrow
jamani hata kama unasingiziwa this is too much
msimpe kura.....namba NNE ni Anna makinda huyu
asipate kura kwakua ni mpendeleaji awapo katika
kiti na ni mnafiki kwelikweli...namba tano ni Anna
tibaijuka huyu anajulikana hana uadilifu huwz
kupewa mabilioni burebure, mwingine ni mr lukuvi
huyu kura asipewe kabisa uyu kwakua ni mbishi
hata kwenye mambo ya wazi mfano kura ya siri na
wazi, mwingine mwandike hapa na wasifu wake
isiokubalika...
 
Pinda huyu hanamsaada wowote kwa watanzania, kwanza kajichokea wamuache tu apumzike
Lowasa huyu anahitaji kurudisha hela zake alizogawa makanisani
Sita huyu anauelewa ila tamaa ya madaraka inamponza.
 
Bongo flava lema na chizi mwenzake sugu bila kusahau comedian msigwa
hao wengine sawa lakini msigwa naona bado tunamhitaji pale mjengoni. akina lema, sugu, kibajaji, mshumta, kisengi na wanaofanania na hao tuseme yatosha.
 
kwa wananchi wa Arusha kumgusa lema ni sawasawa na kumgusa Mess wa Baselona. watu wa Arusha wanajua faida ya Lema
 
WAFUATAO HATUWATAKI BUNGENI
1.) RIDHIWANI KIKWETE
2.) JOHN KOMBA
3.) WABUNGE WOTE WA VITI MAALUM TENA VIFUTILIWE MBALI (UBUNGE WA CHUPI HATUUTAKI)
4.) LUSINDE KIBAJAJI
4.) MIZENGO PINDA
5.) MWIGILU MCHEMBA
6.) GODFREY MGIMWA
7.) MWAKIEMBE HARRISON
8.) CHENGE ANDREW
9.) JOB NDIGAI
10.) MAKONGORO MAHANGA
11.) IDDI HAZZAN
12.) ZUNGU

ONGEEZEENI NA NYIE MIMK NiMECHOKA Haya twende
 
Naunga mkono hoja ila namba 7.kwa heshma na taadhima namba tuunde kamati ya maridhiano,apate term moja ya mwisho
 
Naongezea mnyika hana lolote analofanya ubungo siku zake zinahesabika,nasari naye anaagaaga kuhusu lema mbona wazi vijana wa arusha wamechoka kunyweshwa viroba
 
Kibajaji, maji marefu, capt. Komba, kalogelis, nagu, asumpta mshama, madabida, shibuda, ahamad rashid, wassira
 
lema ana faida gani arusha

Mimi ningependa tuweke makundi mawili hapa, Wabunge wasomi wanaoweza kuchanganua masuala ya nchi, na wale ambao uwezo wao ni wa kawaida. Watu kama Lusinde, Lema, Assumpta Mshama. Hawa uelewa wao ni mdogo mno sasa ukichanganya na mfumo wa RUSHWA huko NDANI ya BUNGE basi inakuwa shughuli pevu. Kibajaji alipewa milioni 10 atetee mafisadi Bungeni, sasa kwa ile kukosa uwezo alishindwa kujenga hoja zenye uficho kwenye hoja ya ESCROW akabaki kujidhalilisha, lakini kuna wasomi waliopewa Mshiko wakachangia kisomi na kijanja mpaka leo hawajaguswa ktk sekeseke hili. Mtu kama Dr. Mwakyembe, Chenge, Sitta n.k hawa wanaelewa wanachokifanya hawapaswi kuhurumiwa hata kidogo. Chenge ndiye amesimamia mikataba mibovu yote inayolitafuna TAIFA akiwa AG, Dr. Mwakyembe ni Msomi alipaswa alisaidie TAIFA kupitia Wizara anayoiongoza na PIA anapokuwa NDANI ya Bunge. lakini ameendekeza UFISADI. Sasa hawa watu tukiwachanganya itakuwa ni kutokuwatendea HAKI. USHAURI WANGU NI KUWA:-
1. Wasomi wote wapuuzi kama HAWA watoswe kwa gharama zote,
2. Hawa akina Bajaji ni abiria wanaozalishwa na kulelewa na mfumo,
3. Tupambane na mfumo badala ya watu vinginevyo tutapoteza muda kupambana na watu
 
Back
Top Bottom