Rekodi za Simbachawene ni zipi?

Rekodi za Simbachawene ni zipi?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,667
Leo wakati anakabidhiwa ofisi
waziri mpya wa nishati na madini kashangaa wanaomtilia shaka akisema
'rekodi zake alipokuwa naibu waziri wa nishati na madini'
na wizara zote alizofanya kazi zinafahamika
tena alisema waandishi wa habari wanazijua

na waandishi waliokuwepo walionesha kukubaliana na hilo

sasa binafsi naomba mwenye rekodi ya utendaji wa Waziri huyu
atusaidie wengine.....tuzijue.....ili tujue maatarajio wizara hiyo yakoje

hapa JF kuna waandishi kama Pasco Manyerere Jackton na wengine

labda mtusaidie kwa hili
 
Last edited by a moderator:
kabla ya mabadiliko ya 7 alipoteuliwa w/Nishati&Madini ni ktk mabadiliko ya 6 ndipo alipoingia Cabinet kwa unaibu Nishati, Masele yeye akiwa naibu Madini

Amewahi kuwa mwenyekiti wa Bunge pamoja na Jenista Mhagama

Miaka 3 iliyopita ndipo alipata degree(Open Univ- LLB)
 
kabla ya mabadiliko ya 7 alipoteuliwa w/Nishati&Madini ni ktk mabadiliko ya 6 ndipo alipoingia Cabinet kwa unaibu Nishati, Masele yeye akiwa naibu Madini

Amewahi kuwa mwenyekiti wa Bunge pamoja na Jenista Mhagama

Miaka 3 iliyopita ndipo alipata degree(Open Univ- LLB)


rekodi ya utendaji ni ipi?
 
Ngoja nisepe nisiharibu mood yangu na kilaza na mbabaishaji, utendaji wake labda kwenye totos
 
Miaka 3 iliyopita ndipo alipata degree(Open Univ- LLB)
napata shida sana na hii nchi, yaani mawaziri wanachaguliwa kama wajumbe wa kamati ya kitchen party, huyu ndo waziri wa nishati na madini
 
Sishangai ufanisi wa baraza la mawaziri. Jk anateua bora liende tu na sio kuangalia utaalamu
 
ninavyomfaham huyu mheshimiwa japokuwa sifaham utendaj wake ila alishakuwa mponda kokoto mzuri sana kule ving'awe mpwapwa na baadae akapata zari la kuwa kondakta mzuri sana na ndie alienzisha ruti ya dodoma arusha kupitia chalinze na hiyo ndio ilimpa umaarufu.kwetu huwa tunamuita konda mpaka leo
 
Mkuu unatafuta ugonjwa wa moyo na kiharusi ukitaka kufahamu vigezo vya kuteuliwa na Kikwete kuwa waziri ama nafasi yeyote ya madaraka. Tumshukuru Mungu ataondoka madarakani miezi michache kuanzia sasa!
 
Hata kuwa mwana-CCM ni rekodi tosha.........Huu ndio uzuri yetu sisi CCM!!!
 
Back
Top Bottom