Recent content by maplani

  1. M

    Biashara ya spare inahitaji mtaji kiasi gani na changamoto zake ni zipi?

    Asante sana mkuu,unafikiri ni mikao gani mizuri wa kufanya hii biashara
  2. M

    Dawati la msaada kwa Sony Xperia

    Mkuu me natumia Sony experia Z natafuta housing yake nimeangaika sana kwenye maduka huku posta ila sijazipata,naomba msaada wako kama unafahamu duka lolote ambalo naweza pata housing ya experia Z.
  3. M

    Je komputa yako ina Tatizo Lolote? Ilete kwa mtaalamu aitibu

    Nina laptop yangu lenovo haiwaki ilimwagikiwa soda kwenye keyboard,matengenezo yake yapo je na yana gharimu kiasi gani..?
  4. M

    Biashara ya spare inahitaji mtaji kiasi gani na changamoto zake ni zipi?

    Habari ndungu,naomba msaada wa kujua biashara ya spare za piki piki ina hitaji mtaji wa kiasi gani...,pili challenge zake ni zipi
Back
Top Bottom