Recent content by mapiki

  1. M

    Rais Magufuli aivunja Bodi ya TCRA, amsimamisha Mkurugenzi Mkuu kwa kusababisha hasara ya Bil. 400

    Duuh huyu jamaa alikua ameanza kujitanua kibiashara, maduka ya mpesa, tigo pesa, nk hardwares kibao Moro. Kuna jamaa yake anasimamia maduka yake ana nyodo balaa
  2. M

    Azam Media mnastahili pongezi

    Hiyo ni kazi nzuri ya Tido Mhando
  3. M

    Wanafunzi vyuo vikuu amkeni na saidia kuing'oa CCM madarakani

    Yaan serikali hii ccm inachofanya sio kabisa. Mm nimehangaika kumsomesha mdogo wangu sasa amepata chuo lakini hajapewa mkopo yaan niko confused sijui nifanyeje hali mbaya. Tafadhari naiomba serikali ifikirie upya iwapatie mikopo wanafunzi wote,
  4. M

    Watumishi Mkoa wa Mbeya hawajalipwa mishahara mpaka leo

    Mwezi huu umeanza vibaya kwa watumishi wa serikali mkoa wa Mbeya, kwa kuwa hawajalipwa mshahara wa mwezi April mpaka sasa. Leo nilikua na jamaa zangu ambao ni watumishi Halmashauri ya Rungwe, wanalalamika kweli hawajapata mshahara mpaka sasa hali inazidi kua ngumu. Wanaomba serikali iwaonee...
  5. M

    Natafuta tenda ya ku-supply samaki sato kutoka Mwanza

    Ok vizuri sana. Mimi nataka kuanzisha biashara ya samaki wabichi Morogoro. Je naweza kupata constant supply ya samaki aina ya sato na sngara toka Mwanza?
  6. M

    Biashara ya Fresh Foods

    Nina mpango wa kuanzisha biashara ya fresh foods (samaki wabichi kama sato, sangara, migebuka na sea foods, kuku, nyama ya ng'ombe na mbuzi) Morogoro. Nataka iwe modern. Naomba wazoefu wa biashara hii wanipe mawazo, ujuzi, n.k. jinsi ya kufanya biashara hii. Asanteni wadau.
  7. M

    Majibu ya Waraka wa Manyerere Jackton na Pasco wa JF, kuhusu yanayoendelea CHADEMA

    Majibu mazuri sana. CDM chapeni kazi achana na hao maccm. Yanayofanyika yote hayo yako well planned na CCM, kueni makini. CCM badala ya kufikilia maendeleo wanawaza jinsi kuiua CDM, ujinga mtupu
  8. M

    Madiwani na Wenyeviti wa Halmashauri ndio Wachawi Wetu Wakubwa CCM!!

    je Rungwe ulifika ukajionea? yaan hii halmashauri nadhan karibia ita collapse. kuna DT ana kiburi balaa haambiwi kitu mambo hayaend sabab yake. hata 25% inayotokana na ushuru wa mazao ya kilimo iliyotakiwa irudi idara ya kilimo, toka amefika huyu DT hairud kabisa. shughuli nyingi zimelala sabab...
  9. M

    Serikali ya CCM walipeni mishahara walimu

    Aise ni balaa, especially ya Halmashauri ya Rungwe, Mbeya inanuka kabisa. Serikali ilitangaza walimu wapya wataanza kulipwa mwezi huohuo walioripot lakin walimu wapya wameanza kulipwa mwezi wa tano na miezi mingne wameambiwa wadai. Na Rungwe ilivyo hiyo ndo wasahau. Nashangaa Halmashauri zingine...
  10. M

    Ubadhilifu wa Dr. Slaa siku moja kabla sijafukuzwa CHADEMA

    mwampamba ww ni mpumbavu, jitambue ww bado mtoto. unatumiwa na hao ccm lakin mwisho wake. mm sio mwana siasa lakin sikupendi kwa tabia yako mbaya. na shonza wako no mshenz kabisa, hawez kumsema dr. slaa eti ni mlemavu au ana kisukari wakati bado yuko duniani anaweza kupata ajali anytime au...
  11. M

    CHADEMA yazindua M4C mgawanyo wa sera ya majimbo 10

    good move, lakin mbona cjaona Rukwa? au ndo Katavi?
  12. M

    Mkurugenzi NZEGA apandishwa cheo!!Ni yule wa DK KIGWANGALA

    Wala sishangai kwa Tanzania. Ni kitu cha kawaida mtu akituhumiwa anahamishwa na anapandishwa cheo, ndo CCM hiyo. Waende wakamchukue basi na ded wa Rungwe maana nasikia hana lolote na hasemi lolote kwa DT (District Treasurer). Nasikia DT ndo mwenye maamzi makubwa kuliko DED.
  13. M

    Waziri Tizeba analala hoteli mpaka leo kwa kodi zetu

    Hii kali. Jamani hata hili CCM hamlioni? Inatia hasira sana. Nape ebu jitokeze utujuze kinachoendelea kwenye serikali yako unayoisimamia. Halafu CCM mnahangaika kutafuta mchawi wenu? Au ndo chukua chako mapema???
  14. M

    Waziri Tizeba analala hoteli mpaka leo kwa kodi zetu

    Hii kali. Jamani hata hili CCM hamlioni? Inatia hasira sana. Nape ebu jitokeze utujuze kinachoendelea kwenye serikali yako unayoisimamia. Halafu CCM mnahangaika kutafuta mchawi wenu? Au ndo chukua chako mapema???
  15. M

    Picha na Maelezo: Mkutano wa CHADEMA Mjini Moshi - Jan 14, 2013

    Rais wetu ajae. Dr. hakika ww ni jembe la ukweli
Back
Top Bottom