Recent content by mapesi .c

  1. M

    JamiiForums Tanzania NJOO TUKIONGEE HIKI ALICHOKIFIKISHA MH. ZITTO KABWE

    Kazi tunayo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaamini uwepo wa Mungu mpaka wakati huu??

    Hivi makanisani na misikitini huwa tunaenda kufanya nini?,Maana kama unaamini Mungu yupo huko unaenda kufuata nini hasa na wakati umeshaamini kuwa Mungu tupo?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa WhatsApp, siwezi kuingiliwa mawasiliano yangu tena. Je, bado TCRA wana ubavu?

    Hueleweki maana kizungu na kiswahili humo humo na unadhani utaeleweka
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Biblia imeandikwa kwa lugha ngumu?

    Kwa nini siku hizi wake za watu wanapenda sijana ambao hawajaoa?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Millard Ayo achafuliwa Instagram

    Ndo fiesta hiyo Dada
  6. M

    JamiiForums Tanzania DISCOUNT CENTRE

    Wakati unapata swali ungerudi kuwauliza
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wapi Wanayeyusha Shaba?

    Soma maelezo yako na utaelewa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wapi Wanayeyusha Shaba?

    Njoo kwangu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tuambie [Message,Msemo,Status,...] huwa inakuchekesha sana..!!

    Ni kutojiamini tu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tuambie [Message,Msemo,Status,...] huwa inakuchekesha sana..!!

    Huo wote ni yoga
  11. M

    JamiiForums Tanzania DISCOUNT CENTRE

    Kama uliingia mbona ukuuliza wahusika sasa huku sisi tutakusaidia nini hasa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama Michael Lukindo anafaa kuwa mbadala wa Hudson Kamoga kwenye Clouds tv 360

    Huyu hajui hata maana ya misamiati sasa huku anafuata nini mkuu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama Michael Lukindo anafaa kuwa mbadala wa Hudson Kamoga kwenye Clouds tv 360

    Nashani atajifunza kupitia uchambuzi wako mkuu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Uhuru mmepotosha taarifa ya Forbes

    Ndo wahariri wetu walivyo mkuu maana wanahariri habari kwa kuogopa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Abiria aamua kuishitaki Emirates Airlines Kwa kukaa karibu na mtu mnene Kwenye siti

    Hii itatusaidia sana sisi wanene kupata haki zetu ndani ya vyombo vya usafiri
Back
Top Bottom