Wa saba shule ila wengi wamekosa nafasi kutokana na uhaba wa madarasa na mabweni,hata hivyo serikali inajitahidi kuhakikisha inawabanabana ili wote mpate nafasi ya kuendelea na masomo.
Nafikiri huwa ni vigumu watu wote kuingia kwenye system kwa mara moja kutokana na kazi kubwa ya kuingiza majina katika system hivyo huwa ni taratibu na baadaye wote mtakuwa kwenye system. Hamna budi kuwa wavumilivu na wenye subira .
KILA MMOJA AWE DODOMA JPILI ILI JTATU TUWAHI TAMISEMI saa 2 wote tuwe pale in order to organize OURSELVES on how to do.Tuwasamehe hawa wanaocoment matapishi,maharagwe yanawasumbua wameanza kuchafua hewa wanahara hovyo.
Ikibidi twende mpaka bungeni hili wazo zuri na hasa wale wahusika wa TAMISEMI wasipokuwepo ofisini tutamfuata pinda Bungeni na hili lazima watangaze kwenye vyombo vya habari kwamba wanatuajiri lini.Jamani tuungane na tutatembea barabarani bila woga wala kuwaogopa wanaojifanya wanamamlaka...
Wahanga wa ajira ya ualimu mnaarifiwa kuwa siku ya Jtatu tarehe 25/5/2015 kutakuwa na maandamano Dodoma kwenye jengo la TAMISEMI ili kudai haki yetu ya ajira.Mjulishe na mwenzio ili kuimarisha umoja wetu.
Twendeni dodoma j tatu wote kwa pamoja tuhamasishane tupiganie haki zetu.Ccm sasa ni balaa kila wizara ni mapungufu tu,tusikubali jamani na mwezi wakumi tusiwafumbie macho hawa inabidi wapumzike maana wamechoka sana mpaka wanasahau wajibu wao.Kwa pamoja tuseme HAPANA CCM.
Hakuna hawa lazima tuandamane na kujitoa sadaka mbona wanaelewa tu,kwani vyuo vikuu wamefanyaje na leo hela zao ziko tayari,lazima uvunjifu wa amani utokee ndio wataelewa si ndivyo walivyojizoesha mpaka tugombane.Kuajilowa waalimu ni haki yetu sio kama fakati zingine na ndio maana hata wao...
Walioenda jana hawakumkuta katibu mkuu wala Mkurugenzi,na waliwakuta baadhi ya akina mama ambao walikaimu kwa muda,majibu yao yalikuwa hivi"vuteni subira ndio wanaingiza majina yenu kwenye website mtayaona".Kwa mantiki hii wakuu naomba tusubiri mpaka tarehe 24 then J tatu twende na tujipange...
Namba hii hajawahi pokea inaita mpaka inakata bora asingetoa hii namba, inaonesha wazi jinsi gani wanafanya mambo kisiasa kwakuwa sio wakweli,ila hatma ipo tu mi naamini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.