Recent content by Mapenzi Kudadenya

  1. Mapenzi Kudadenya

    Ushauri kuhusu kuahirisha masomo chuo degree mwaka wa pili

    nahis labda sijaeleweka..hana shida yyt ila tu amepata mchongo wa kijeshi
  2. Mapenzi Kudadenya

    Ushauri kuhusu kuahirisha masomo chuo degree mwaka wa pili

    Wanazengo habari zenu Kama kichwa kinavyojieleza..dogo wa miaka 21 anaesoma chuo kwa sasa mwaka wa pili degree kapata mchongo wa kwenda kwenye kazi za watu za kijeshi..na kazi yenyewe kapata kupitia cheti cha form six.. Je ni busara kuahirisha chuo kwenda huko kuripoti ama kumalizia sehemu...
  3. Mapenzi Kudadenya

    Kava za kuvalisha godoro

    Zinauzwa bei gani kiongozi
  4. Mapenzi Kudadenya

    Kava za kuvalisha godoro

    Naomba kuuliza wapi naweza kupata kava za kuvalishia godoro maan kava yake imetoka na kuwa uchi inasumbua kwenye kuhama 💔😂 nipo dar
  5. Mapenzi Kudadenya

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Mwenye fani na asiye na fani wote pared n lazima..kumbuka kazi na ya upolisi..fani uliyonayo ni extra..kwa mfano kikosi cha ufundi kilwa road wao japokuwa wana fani za ufundi lkn huwa wanaingia pared ama mazoezi ya utayali kwa wiki mara moja
  6. Mapenzi Kudadenya

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Mungu awatangulie nyote mnaosubiri pdf ya mwisho...ajira zilizobaki Tanzania ni ajira za kwenye majeshi tu..ila pengine wale mliongia kupitia professionals mungu awe nanyi zaidi maan wanahitajika wachache mno kwa mfano...katika kitengo fulani interview mlihudhuria zaidi ya 190 na wahaohitajika...
  7. Mapenzi Kudadenya

    Kwanini baadhi ya watu huitwa mafisi?

    MFAHAMU FISI KIUNDANI ZAIDI Kuna aina nyingi za fisi ila post hii itaeleza kwa ujumla • Fisi huishi kifamilia na kwa taarifa fisi hujenga kabisa sehemu wanazokaa ,huzaa watoto kuanzia wawili mpaka wanne bahati mbaya waliyonayo wanyama hawa hupata tabu sana ya uzazi pindi jike linapozaa, watoto...
  8. Mapenzi Kudadenya

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo nayo siku VJUX2FRQ Parimatch
  9. Mapenzi Kudadenya

    Je, sabuni ya kojic inatoa makovu ya chunusi usoni?

    Na kama haitoi nitumia sabuni gani? Nawasilisha.
  10. Mapenzi Kudadenya

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Unapatikana wapi!?
  11. Mapenzi Kudadenya

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi hamuna group la whatsapp!?[emoji23][emoji174]
  12. Mapenzi Kudadenya

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Odds 10 bigboi zimetiki..[emoji1666][emoji3590]
  13. Mapenzi Kudadenya

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hongereni mliokula jana..sina hata hamu ya kuongea ngoja nitafute mtaji leo nitembee na bigboi hata kwa jero jero[emoji848][emoji23][emoji174]
Back
Top Bottom