Recent content by Mapensho star

  1. Mapensho star

    Wakuu TikTok imefungiwa Tanzania, yaani Total Ban hata kwa VPN?!

    Tiktok sip ile Tena ya zamani nilishangaa kuingia tiktok mwezi uliopita nikaona habari zinazotrend ni kudai katiba mpya na maandamano
  2. Mapensho star

    SI KWELI Ulaji wa Ugali husababisha udumavu wa akili

    Wakinga wanakulia ngano yeusi ni nzuri kwa afya ya ubongo ngano nyeupe sio nzuri Inaongeza kitambi
  3. Mapensho star

    Nifanyeje ili niache kununua malaya?

    Hao ni wasanii tu wengi wanafungua biblia jumapili mpaka jumapili wanavyokuwa kanisani biblia ni kama mkate ni lazima isomwe kila siku
  4. Mapensho star

    Nifanyeje ili niache kununua malaya?

    Hicho ni kifungo shetani huwa anatumia akili sana kufanya mtu ili asifanye maendeleo mara nyingi vitu unavyovipenda kuvifanya shetani huwa hakai mbali chunguza vitu unavyovipenda kuvifanya au mazingira unayopenda kushinda au marafiki unaowapenda kuwa nao wanaweza kuwa sababu ya mambo yako...
  5. Mapensho star

    Nchi inaharibika kwa Kasi sana. Umeshawahi kumuona wapi mtoto wa kigogo anafikiria kusoma VETA?

    Veta Kuna elimu iliyoleta mapinduzi makubwa kwa vijana haya mavibanda yote tunayoyaona ya mpesa yamechomelewa na vijana wa veta
  6. Mapensho star

    Ujio wa DP World: Bandari za Tanga na Mtwara Wanahusikaje? Tuliambiwa ni Dar tu tena gati tatu

    Hii ni vita ni wazanzibar na watanganyika usije ukajikuta siku muislam wa Tanganyika unafukuzwa Zanzibar watu wanaanda mazingira
  7. Mapensho star

    Kupunguza umasikini nchini kila familia ipeleke kijana mmoja ughaibuni akapambane huko

    Wale vijana waliokimbilia sauth wamegeuka kuwa michimoko kila siku wanauwawa tu hawana ujuzi wowote zaidi ya wizi na uuzaji madaw
  8. Mapensho star

    Najuta kuoa mwanamke kutoka kanda ya ziwa, aisee najuta indeed!

    Malalamiko ya wanaume yamekuwa ni mengi sana shida Nini mbona tunajizalilisha sana mitandaoni
  9. Mapensho star

    Wanasheria nisaidieni: Nina eneo langu lakini nimekuta limepangiwa matumizi bila kunihusisha

    Haya mambo ya kununua maeneo bila hati imekuwa ni shida kubwa nchini
  10. Mapensho star

    SI KWELI Ulaji wa Ugali husababisha udumavu wa akili

    Dona Ndio mbaya zaidi Ile sumu yakuhifadhi mahindi huwa inasumu inayosababisha kansa waulize wakenya
  11. Mapensho star

    SI KWELI Ulaji wa Ugali husababisha udumavu wa akili

    Ni kweli kabisa ngano,wali na ndizi ni vyakula ambavyo ni best kabisa vinasaidia kuongeza akili respect wahaya,wachaga,wanyakyusa na wakinga wanakimbiza sana
  12. Mapensho star

    Kupunguza umasikini nchini kila familia ipeleke kijana mmoja ughaibuni akapambane huko

    Elimu pia ya tatizo hii nchi watanzania wengi wanaamini kwenye kuutumia nguvu kufanya kazi ndio wanaona ni maisha hakuna idea mpya zinazoletwa kwenye jamii shughuli ni zile zile kila kijiwe Kuna bodaboda huyu mtu ata umpeleka ulaya ataenda kufanya nini
Back
Top Bottom