Recent content by mapendojosephmeela

  1. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wavamia nyumbani kwa Mbunge wa Arusha G. Lema

    Sasa maneno si aliyasema hadharani home kwake waendachukua nini
  2. M

    JamiiForums Tanzania Picha; Mwanaume wa Kanda ya ziwa awadhibiti panya road

    Hongera saana muraa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Dr. Massaburi wawakutanisha Edward Lowassa na Jakaya Kikwete uso kwa uso

    Lowasa mfano WA kuigwa sana.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tausi akanusha kutoka na Hemed PHD

    Hata kama anatoka nae si ndio kawaida yao hao wajiitao wasanii
  5. M

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Tingatinga lafukua mamilioni yaliyokuwa yamehifadhiwa ardhini

    Hajitambui huyo acha wengine wajifaidi tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Millard Ayo achafuliwa Instagram

    Hiiiiii kaaazi kweli na maisha haya yalivyobana lazima tutasikia mengi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, walijua jiji la Tanga?

    Tanga ni jiji pekee maji bwerere na unawezafika popote utakako bila bughuda ya foleni
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukimfanyia Hivi Demu Harudi Teena..!!!

    Nyie vijana wa mjini Mawazo yenu bana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Professor Lipumba: Lazima tugawane Umeya wa Kinondoni na Ubungo

    Huyu jamaa tokea mwanzo niliona dalili ya kuupasua ukawa. Ina maana alishindwa fanya kazi ingine kwa muda woote huo huku kusoma kwingine bana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Vyombo vya Habari vya CCM yajiuzulu

    Duuuu Haya Haya ya uvunguni yanakuaja soon ..Heshima kwako mh Presdaa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sasa nimejua kauli kutoka juu huwa zinatoka wapi

    Ila upinzani kwa sasa unaogopeka kuliko kitu ingine kabisa asee
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wema: Nitalipa pesa matibabu ya baba Diamond

    Ni kutafuta kiki tu huko mbona siku nyingi malalamiko ni ya BABA mzazi tu. Hao waandishi waende pia kwa Mamake Diamond wapate na upande WA pili. Still Kama mzazi alishindwa malezi na mtoto kajitahidi amekua na maisha. Awe mpole mtu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Polisi nchini Ufaransa wakimwamrisha mwanamke wa kiislamu kuvua "burka".

    Najiuliza kwa hawa askari kumfanyia hivyo huyu Mama hofu yao nini hapo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Polisi nchini Ufaransa wakimwamrisha mwanamke wa kiislamu kuvua "burka".

    Duu hii dinia tuendako kama amani itatoweka aisee
Back
Top Bottom