Recent content by Mapendekezo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Ili kumuenzi Hayati Magufuli ianzishwe Magufuli Infrastructure Development Fund-MIDF

    Naamini kuna namna ambazo zipo za kuwakumbuka Nyerere na Mkapa. Hili ni pendekezo la namna nyingine ya kumkmbuka kiongozi. Ni kweli aliyafanya kwa fedha za Serikali lakini ni ukweli kuwa alifanya kwa jitihada,uaminifu na ari kubwa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Ili kumuenzi Hayati Magufuli ianzishwe Magufuli Infrastructure Development Fund-MIDF

    Tusahau mapungufu yake tuchukue mazuri yake
  3. M

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Ili kumuenzi Hayati Magufuli ianzishwe Magufuli Infrastructure Development Fund-MIDF

    Tusiweke negative attitude mkuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Ili kumuenzi Hayati Magufuli ianzishwe Magufuli Infrastructure Development Fund-MIDF

    Salamu kwa wanaJF. Nina pendekezo la namna ya kumuenzi Hayati Rais John Pombe Magufuli tukizingatia huduma aliyoitoa katika kuendeleza miundombinu nchini Tanzania. Ni vyema ukaanzishwa mfuko wa uchangiaji fedha ambazo zitagharamia ujenzi wa miundombinu mbalimbali haswa ya Madarasa,Vituo vya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

    Hii ni reaction ya mbunge wa Sumve kuhusiana na kauli ya Mwanachadema aliyetoka lupango kwa huruma ya mama Samia . Chadema na Mdude lazima waombe radhi ili kujisafisha. Kauli hii ya Mdude imeharibu taswira ya nchi, Mahakama iliyompa ushindi, Hayati Magufuli, Rais Samia na CHADEMA.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sabodo: Kikwete ni kiongozi anayecheka na rushwa!

    Maandishi ya blue
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Rais ametuuza

    Kuna shida mahali
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe afanya mazungumzo na maafisa wa Ikulu ya Marekani

    puppet leaders
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni nini hatma ya Mahakama ya Mafisadi?

    Katika kampeni ya Urais Magufuli akiwa na Samia walituahidi watanzania kuwa wataanzisha mahakama ya mafisadi. Ahadi ya Wagombea Urais ni swala la kiilani vile vile.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Vijana wanaochangishana kumsaidia Sabaya wafuatiliwe, wana nia ovu ya kuzuia haki isitendeke(obstruction of justice), pia wanatukana Serikali

    Siasa za 2025 zitakuwa ngumu sana hasa baada ya kukosekana mtu wa kuwacontrol vijana
Back
Top Bottom