Recent content by Mapatokizazaa

  1. M

    Uchaguzi 2020 Flora Lauwo wa Nitetee Foundation atia nia Viti Maalum, CCM

    Kumbe Mambo ya shemeji Tena🤭🤭 na hii ndio tatzo la ccm, hata uwezo mdogo tunaangalia una nini. Nchi hizi maskini kwa fikra ni tatzo
  2. M

    Mafanikio ya Sugu na Profesa Jay yalivyowaponza Wasanii na Siasa chakavu za CCM

    Kipimo cha wasanii wetu ni kwa wanachokiimba na kuigiza ni mapenzi na kuharibu vizazi kwa Mambo ya ajabu. Hii ni kufanya kazi kwaajili ya njaa ya tumbo na akili. Sasa penye mfupa ndo wanaelekekea naamini hata ikawa chadema wataenda tu maana ni njaa, japo wanaitumia Kama haki yao kidemokrasia
  3. M

    Ningekuwa Mwenyekiti wa CCM ningefuta mchakato wa kura za maoni na kuanza upya

    Ulikuwa huko? Wengi walioshindwa wanapesa sana na pia wengine wamekuwa serikalini. Sema kama unamtetea ambayo nirushwa pia
  4. M

    Uchaguzi 2020 Paul Makonda, hawezi kupita Kigamboni kura za Maoni

    Ccm wanambinu 99 ya mia hatuijui, hii ni tick ya kumuweka pembeni sisi tushangilie bila kujua
  5. M

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Ii ilikuwa ni trick ya kuviondoa vichwa vitatu ambavyo vingekuwa ndoano wakati wa kampeni
  6. M

    Mahesabu makali ya Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi

    Siyo kila mzee anabusara hata wajinga huzeeka. Taifa linapelekwa kwenye mfumo wa familia taratibu na Kuna ambao wanaofanya hivyo kujiwekea Kinga kwa makosa waliofanya
  7. M

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli atakavyowageuka CCM, Ndugai hatarudi, nawaambia mnielewe!

    Ni wewe unaetaka pesa za chadema zirudishwe, wewe zinakuhusu kivipi. Watu kama wewe hamfai kabisa maana hupendi mapatano unataka chuki iendelee
  8. M

    Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

    Iwapo wangemjeruhi kama Lisu isingekuwa stori ya kulewa, muulize aliyesema hili akujbu la Lisu alikuwaje
  9. M

    Suzan Kiwanga: Makato ya wabunge wa CHADEMA yako kikatiba na Spika Ndugai ameyabariki na hutukata sh 530,000 kila mwezi pale Bungeni

    Namaanishi tusiwe wepese kutoa banz ndan ya Jicho la wengine letu tumesahau. Wao walikubali vip kutoa ilihali wanaona kuna wizi kisha waje kulalamika leo, huu n upungufu wa fikra. Ndio maana wanatutungia sheria za hovyo kabsa
  10. M

    Mbowe akikagua miradi ya maendeleo ya Rais Magufuli jimbo la Hai

    Mbowe s mbunge, Sasa Kuna shida gani hapo, huoni n kusukuma gurudumu la maendeleo
Back
Top Bottom