Recent content by Mapandeson

  1. Mapandeson

    Kuna ulazima mpenzi wa sasa ajue mahusiano yaliyopita?

    HAKUNA ULAZIMA NA YEYE ASIJE AKAWA KWENYE MAUCANO YALIYOPITA 😁😁
  2. Mapandeson

    Kuna ulazima mpenzi wa sasa ajue mahusiano yaliyopita?

    Je kuna ulazima mpenzi wako wa sasa hajue mahusiano yako yaliyopita??
  3. Mapandeson

    Maoni yangu katika kusaidia kuwakamata wapigaji kwenye manunuzi ya umma

    Nimegundua kuwa sisi wenyewe ndio tunaotoboa bati letu..Ahsante
  4. Mapandeson

    Ukimfumania mke au mume / mpenzi wako chumbani kitu gani cha kwanza kukifanya wewe?

    Watu wanachinjwa kaka nguvu wale wanazitolea wapi?? 😁 Musoma newz
  5. Mapandeson

    Gari yako ishawahi kukuambia hivi?

    Magari yote yakwenu hayakimbii kama Gari alilonipa bibi yangu 😁😁
  6. Mapandeson

    PreGE2025 Mzimu wa Msigwa waitesa CHADEMA hofu ya gharika nyingine kutokea yatanda

    Kila mtu katika sehemu fulani huwa anaumuhimu wake lakini haimaanishi kwamba watu hawawezi kuishi bila huyo mtu...
  7. Mapandeson

    Maoni yangu katika kusaidia kuwakamata wapigaji kwenye manunuzi ya umma

    Vitengo vyote katika nchi vipo lakin chaajabu mambo bado yanaendelea kutokea au ndio hile dhana ya polisi bila wezi hawafanyi kazi yani lazima vitu viwepo ili watu wafanye kazi nafikili niwakati wakuchukua hatua kwa upana zaidi kwa wahusika wa idara husika .
  8. Mapandeson

    Msaada, nimeingia Ajira Portal inaniambia number ya NIDA ilishatumika

    suruhisho ni dogo sana ingia Ajira Portal chukua ile email ya Very simple solution fanya ivi ict@ajira.go.tz Wape detail zako za email uliotumia then wao wenyew watakutumia Password but huwa niminamba yaajabu kwhy utabadilisha mwenyew ukiingia kwny account yako
  9. Mapandeson

    Ukimfumania mke au mume / mpenzi wako chumbani kitu gani cha kwanza kukifanya wewe?

    Ukimfumania mke au mume / mpenzi wako chumbani kitu gani cha kwanza kukifanya wewe? Naanza mimi nitanyanyua mtungi wa gas nawarushia 😁
  10. Mapandeson

    Maoni yangu katika kusaidia kuwakamata wapigaji kwenye manunuzi ya umma

    TANZANIA TUITAKAYO - UNUNUZI WA UMMA. Manunuzi, ni kitendo cha kununua au kuuza hifaamike tu kuwa nibidhaa au huduma kutoka katika chanzo cha msambazaji au mtoa huduma lakini chanzo hiko kiwe halali katika utoaji wa huduma, manunuzi yavitu ambavyo haviko halali yani vitu vya wizi hatuseme...
  11. Mapandeson

    Msaada wa kupata connection nje ya nchi

    Tumia UPS website utanishukuru
Back
Top Bottom