Recent content by Mapambano Yetu

  1. Mapambano Yetu

    GE2025 Mch. Dk. Godfrey Malisa: Naendelea kusisitiza katiba ya nchi na chama zilivunjwa kwa kumteua SSH kuwa mgombea Urais wa CCM

    Ubaya Ubwela Yale Yale ya Makam M/kiti Zanzibar. Je, Kuna Hakimu wa kuweza kulikubali hili? Je, chama kinaweza kufungiwa kama wengine? Je, msajili anaweza kuchukua hatua kama alivyofanya kwa wengine?
  2. Mapambano Yetu

    PreGE2025 Pascal Mayala: Mateso ya kumuuliza swali Magufuli. "Niliumizwa, Kampuni yangu ilitolewa Sabasaba, Mikataba ikavunjwa. Sijapona hadi leo"

    Nimeelewa kwa nini uligombea ubunge kupitia ...... Kumbe kulikuwa ukiwaaminisha kuwa ni mmoja wao.
  3. Mapambano Yetu

    Mkeka wa Chadema aliyeanza kuuchana ni Team Mbowe, Lissu aliwastukia akabadili gia angani

    Sasa ni RASMI kwamba team MBOWE ndo walianza vurugu, LISSU alitamani kubaki kwenye nafasi ya Makam Lakini team MBOWE wakaplan kumwengua kupitia Wenje. Sasa kama Mbwai na iwe Mbwai
  4. Mapambano Yetu

    Lissu ni yule yule akikosa matamanio yake huwa anawageuka walio karibu yake

    Labda nikukumbushe kwamba baada ya tume kutangaza matokeo tu, Kikosi kilichokuwa tayari kimeandaliwa kilitumwa kumkamata wakamkuta Yuko kwenye Ubalozi wa German. Sasa hayo maandamano aliyaitisha lini?
  5. Mapambano Yetu

    Mkeka wa Chadema aliyeanza kuuchana ni Team Mbowe, Lissu aliwastukia akabadili gia angani

    Mdude_Nyagali Kwenye Clip mlipokamatwa ukiwa na FAM askari wote walionekana wazi kuwa hawakuwa na shida na boss wako. Kibaya zaidi FAM alionekana akiongea na simu kwa uhuru wote.
  6. Mapambano Yetu

    Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

    Siku chache kabla ya tukio TANPOL walitoa taarifa kwa umma kwamba Kuna chama kimejipanga kuvamia vituo vya police. Yes, hii ukiconnect dots utagundua kwamba first suspect ni yeye.
  7. Mapambano Yetu

    Mkeka wa Chadema aliyeanza kuuchana ni Team Mbowe, Lissu aliwastukia akabadili gia angani

    Nitatoa hints TU: LISSU alisema awali kwamba hawezi kugombea nafasi ya MBOWE. Team MBOWE wakamwandalia mchakato wa Abdul. Inaelekea walikuwa na manufaa na mchakato. Mchakato wa Abdul ulipokwama wakaandaa mchakato wa kumwengua Moja kwa Moja kwenye nafasi za juu za uongozi wa chama. Wenje...
  8. Mapambano Yetu

    Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?

    Hili jukwaa kweli ni la Great Thinkers, naona wachangiaji wengi hawajaelewa. Umerusha jiwe gizani na kuingia kichwa kichwa inabidi uwe na mwanasheria wako.
  9. Mapambano Yetu

    Katika moja ya hotuba Hayati Magufuli alitamka hadharani kuwa walikuwa wana-track simu za mtu ambaye hakumtaja na alithibitisha walipata nakala

    Hiyo ndio faida ya kudhibiti midomo isikuongelee unapokuwa madarasani. Angeruhusu kuongelewa kwenye utawala wake sasahivi tungekuwa kimya maana yote yangeliongelewa wakati huo.
  10. Mapambano Yetu

    Kanisa Katoliki haliwezi kujibiwa kihuni

    Serikali ya awamu ya 4 ilijaribu kulitikisa KANISA na kulitaka liwe linapeleka nyaraka zake serikalini ili zipitiwe kabla ya kuzisoma kwa waumini wake. Nakumbuka kupitia kwa Cardinal Pengo KANISA liliwajibu kwamba ni vema waache kuandika nyaraka kuliko kuandika kitu ambacho kimeandaliwa na...
  11. Mapambano Yetu

    Vitambulisho vya NIDA vinaandaliwa wapi? Watanzania tumeshindwa na hili?

    Nimemsikiliza VIZURI waziri wa mambo ya Ndani wakati akitolea maelezo suala la VITAMBULISHO VYA TAIFA kuchelewa. Lakini katika maelezo yake nimebaini kwamba Kuna uwezekano hata VITAMBULISHO tuligawa tenda kwa makampuni ya nje. Sasa Je, watanzania na hili tunashindwa?
  12. Mapambano Yetu

    Somo la TEHAMA linafundishwa shule za Msingi, kwa nini Sekondari halifundishwi?

    Hapa kuna mkang'anyiko wa Malengo ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Shule za Msingi wanafunzi wanafundishwa somo la TEHAMA. Angalau nadharia wanayotoka nayo huko Msingi ingeliendelezwa pale wanapofika Sekondari lakini ukweli ni kwamba Shule nyingi za Sekondari, hasa za SERIKALI hakuna...
  13. Mapambano Yetu

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Kichwa cha habari chahusika, Napendekeza mishahara yao ipunguzwe kwa kuwaondolea mambo yafuatayo: 1. Transport allowances, hii ni zaidi ya million 8 ambayo ni posho kwaajili ya kutembelea jimbo, mafuta, nk 2. Mfuko wa jimbo Hii ni kutokana na mlipuko ulioikumba dunia kwa sasa. Napendekeza...
Back
Top Bottom