Recent content by MAPALAGE

  1. M

    JamiiForums Tanzania Weeder mashine ya kupalia mazao shambani inauzwa

    KWA UHALISIA KWA BEI MNAYOUZA, HIZO MASHINE ZINGESHASAMBAA KILA KONA, KWA SASA SIDHANI HATA KAMA KUNA MTEJA WENU AMBAYE TUNAWEZA CHUKUA KAMA REFERENCE TUKAONE INAVYOPFANYA KAZI. MIMI NIMEFIKA MAHALI MLIPOPAELEKEZA KUWA MNAPATIKANA LAKINI HAKUKUWA NA DALILI HATA YA KUWA MMEWAHI KUWA NA OFISI...
  2. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wateua wakala wa CCM kuwa mbunge

    Penye ukweli tuseme ukweli, ni kweli majina uteuz huanzia ngazi za jimbo, lakini ki uhalisia 70 % walioshinda viti maalum jimboni, na wengine waliopiga kazi kwa nguvu zote kutafuta kura za raisi hawajapata haki yao. ni kweli nafasi zilikuwa chache, lakini ilikuwa ni muhimu sana kuhakikisha ktk...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya uteuzi wa ubunge wa Viti maalum CHADEMA/UKAWA

    Suala la viti maalumu ndio limesababisha iramba irudi tena mikononi mwa mwigulu. Huyo mdada jesca d. Kafulila alibweteka, hakupiga kazi kimkakati akifikiri kuwa umaarufu wa kafulila ungempa kura, na wakati huo huo akiamini kuwa kwa vile ni mwanamke kagombea basi 80% chama kitampa kipaumbele ktk...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya uteuzi wa ubunge wa Viti maalum CHADEMA/UKAWA

    suala la viti maalumu ndio limesababisha iramba irudi tena mikononi mwa mwigulu. Huyo mdada jesca d. Kafulila alibweteka, hakupiga kazi kimkakati akifikiri kuwa umaarufu wa kafulila ungempa kura, na wakati huo huo akiamini kuwa kwa vile ni mwanamke kagombea basi 80% chama kitampa kipaumbele ktk...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya uteuzi wa ubunge wa Viti maalum CHADEMA/UKAWA

    Suala la viti maalumu ndio limesababisha iramba irudi tena mikononi mwa mwigulu. Huyo mdada jesca d. Kafulila alibweteka, hakupiga kazi kimkakati akifikiri kuwa umaarufu wa kafulila ungempa kura, na wakati huo huo akiamini kuwa kwa vile ni mwanamke kagombea basi 80% chama kitampa kipaumbele ktk...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mwigulu Nchemba kuisimamisha nchi kwa mara nyingine

    Acha unafiki ww, ukombozi wa tanzania hauhitaji uvuguvugu, ukiwa iramba mbona unashindwa kumsifia unajifanya UKAWA? Kumbe ww kweli ni team mwigulu!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mrs. Kafulila kuitikisa Iramba

    Hilo halizuiliki, labda wang'ang'anie Magogoni kama Knziza.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mrs. Kafulila kuitikisa Iramba

    Baada ya hujuma nyingi za CCM kuzuia mikutano ya CHADEMA kwa kuhofia kuibuliwa sakata la ufisadi wa pesa za maabara!! Kesho tar 16, Jesca Kishoa ataitikisa Iramba ktk mkutano mkubwa utakaofanyika Kiomboi. Kamanda huyu ameonekana kuwa na uwezo mkubwa wa kushawishi, uwezo mkubwa wa kujenga...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Majimbo yenye uhakika wa kuchukuliwa na UKAWA 2015...

    IRAMBA(tumechoka kunywa tope, tunataka maji) . Mrs Kafulila hakamatiki Mkalama.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ni sasa, Iramba Magharibi

    Wee mfariji tu mwenzako badala ya kumpasha ukweli ili mapungufu ayafanyie kazi, unazidi kutudanganya. Iramba ni pana zaidi ya ufukiriavyo, kuwa mbunge ni zaidi ya kugawa mihuri. Una habari kuwa huko kote alikogawa mihuri ya chama wanamtambua mgombea mwingine? Ni nani ataaminiwa na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ni sasa, Iramba Magharibi

    Wee longoi ndugu yangu, na watia nia wengine Iramba, mnaonaje kama mkijipanga vizuri na kushika kata za kutisha ili wapatikane ma diwani wa kutosha, kuliko kurundikana ktk kugombea ubunge, mafanikio ni process, maendeleo ni gradual process. Wakati wenzenu wakipambana kujenga chama, nyie...
  12. M

    JamiiForums Tanzania BAVICHA Mnafanya nini?

    Tatizo letu huwa hatupendi kuambiwa ukweli, tukiambiwa ukweli tunanuna ma kukomaa kuufanya ukweli kuwa uongo! BAVICHA haiko organized vizuri, huu ndio ukweli, ku ukweli asingekuwa sosopi kujitolea, kutengeneza timu ya kupambana, BAVICHA ingekuwa ni zero. BAVICHA, maoni ya wengi yanawataka...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa awa gumzo kwenye msiba wa John Komba

    sasa nyie mafisadi, majizi, wauwaji, watekaji mlitaka tusimlinde raisi wa Tanzania ili msingizie kuwa CDM wameleta vurugu msibani, tukawa PT. safari hii hamchomoki ccm hata mkamsimamisha nani!!!! UKAWA NI CHAGUO LA WATANZANIA, WADHALIMU WACHACHE MNAFIKIRI MTAZUIA UKOMBOZI WA TZ, MTATOKWA...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vurugu Ilula: Mwananchi afariki, Kituo cha Polisi chachomwa moto

    Jamaa kala bingo, aliyemuua huyo mama utasikia kawa dc,. Walaaniwe polisi wa ccm
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

    MUCCOBS ni chuo bana alikochukulia taaluma u dc makonda,kipo moshi
Back
Top Bottom