mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,733
mkuu samahani kama umelala ukiamka naomba unijibu,kuna jambo nadhani sijalifahamu bado hivi ni kweli mzee wangu/babu yangu ni mchumba wa celina mshumbusi?kama jibu ndio celina akiwa na slaa nae anamuita baby?ndoa yao itakua lini labda,kama ukithibitisha haya yote ntaamini maneno yangu kua vijana wa kiume wanatafuta vijana wenzao wa kike waoane kumbe kuna mababu wanavuruga utaratibu.
Kwan na ww unataka kuolewa?sasa wivu wa nn kwa Josephine?mbona wanaume tupo wengi humu kama vipi ni PM tu Nikuweke sawa