BAVICHA Mnafanya nini?

BAVICHA Mnafanya nini?

Tatizo letu huwa hatupendi kuambiwa ukweli, tukiambiwa ukweli tunanuna ma kukomaa kuufanya ukweli kuwa uongo!

BAVICHA haiko organized vizuri, huu ndio ukweli, ku ukweli asingekuwa sosopi kujitolea, kutengeneza timu ya kupambana, BAVICHA ingekuwa ni zero.

BAVICHA, maoni ya wengi yanawataka mjitoe kuikomboa tz, maoni haya sii ya nia mbaya, ni mazuri kwa afya ya cdm.
 
Back
Top Bottom