Alaf wizara Kama wizara ni Pana sana, headquarter Kuna ofisi ya wazir,naibu waziri,katibu mkuu na wakuu wa idara,Hr,mwasibu mkuu nk,so Kuna idara nyingi wizaran,mfn idara ya masoko,idara ya uzalishaji,so kwenye idara Kuna wakuu wa idara hapo Headquarter,hivyo basi kila idara inawafanya kazi...